Maxence Melo: Changamoto za Vyombo vya Habari na kukosa Matangazo

Mbona kuna uzi wa kubet humu, wanywa masanga na wanaokulana nyuchi kimasihara...hizo nyuzi tu ni zaidi ya matangazo, utofauti tu ni kwamba haziingizi mkwanja kwa wenye jeiefu
 
Mwishoe atasema na mambo ya Kitimoto hayaruhusiwi... huyu Max nani kamloga?
Yupo sahihi babu. Wao kama JF wana misimamo yao na moja ndio kama hivyo ni wao kutohusika directly katika ku promote unywaji wa pombe na kamari.

Kuwepo kwa nyuzi za pombe na kamari ambazo ni user created content na wala sio promo (ads) ambazo zinawaingizia hela hilo sio tatizo lao bali ni la sisi watumiaji tulioanzisha hiyo mijadala.
 
Nitamsikiliza mwenyewe labda mmemnukuu vibaya. Sioni shida juu ya hayo matangazo labda yale ya uganga na uchawi ndio ya ovyo na kinyume na dini zote.
 
Yupo sahihi babu. Wao kama JF wana misimamo yao na moja ndio kama hivyo ni wao kutohusika directly katika ku promote unywaji wa pombe na kamari.

Kuwepo kwa nyuzi za pombe na kamari ambazo ni user created content na wala sio promo (ads) ambazo zinawaingizia hela hilo sio tatizo lao bali ni la sisi watumiaji tulioanzisha hiyo mijadala.
Nimeelewa mjukuu. Nilikuwa nachomekea tu.
 
Kwan jukwaa la matangazo linasemaje?

Umeshawahi kuonna hiko kitu kikifanyika? Jitahidi usomage sheria sio una agree fast a mladi uwe log in.

Nyie ndo mnadai katiba mpya ila hujaisoma hata kifungu kimoja.
Jukwaa la matangazo ni kitu tofauti..

Angalia browser yako ina hilo tangazo la CRDB au wanapromote channels zao, hayo ndio matangazo yanayozungumzwa, sio majukwaa
 
Back
Top Bottom