The Assassin
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 4,355
- 17,321
He is right
amemaanisha nini?Hamjamwelewa alichomaanisha ukakimbilia kupost
Utapigwa mawe wewe subiri wajeAtoe sasa ule uzi wa wazee wa kubet na ule wa walevi
Nadhani nilichomaanisha ndio ulichochangia hapa!!!zile ni threads sio matangazo
Hujambo kipenzi?Ndo maana kaondoa ile kitu yetu pendwa, dah haya bwana tufanyaje sasa. Now ni mwendo wa kusifu na kuabudu.
NakaziaLabda Melo msabato🏃🏃🏃🏃🏃
Aiseee,lile jukwaa lilikuwa hatariNdo maana kaondoa ile kitu yetu pendwa, dah haya bwana tufanyaje sasa. Now ni mwendo wa kusifu na kuabudu.
Wala hatuhitaji matangazo usife moyoBoss, wanywaji tupo bhn usitufanyie hvyo
JLWAiseee,lile jukwaa lilikuwa hatari
Kweli bhn tutakutana nazo hukohuko kwenye vikao vyetuWala hatuhitaji matangazo usife moyo
Yupo sahihi babu. Wao kama JF wana misimamo yao na moja ndio kama hivyo ni wao kutohusika directly katika ku promote unywaji wa pombe na kamari.Mwishoe atasema na mambo ya Kitimoto hayaruhusiwi... huyu Max nani kamloga?
Amina kwa niaba yake maana mi mdogo akeMaxence Melo bwana yesu asifiwe!
Nimeelewa mjukuu. Nilikuwa nachomekea tu.Yupo sahihi babu. Wao kama JF wana misimamo yao na moja ndio kama hivyo ni wao kutohusika directly katika ku promote unywaji wa pombe na kamari.
Kuwepo kwa nyuzi za pombe na kamari ambazo ni user created content na wala sio promo (ads) ambazo zinawaingizia hela hilo sio tatizo lao bali ni la sisi watumiaji tulioanzisha hiyo mijadala.
Kwan jukwaa la matangazo linasemaje?amemaanisha nini?
Jukwaa la matangazo ni kitu tofauti..Kwan jukwaa la matangazo linasemaje?
Umeshawahi kuonna hiko kitu kikifanyika? Jitahidi usomage sheria sio una agree fast a mladi uwe log in.
Nyie ndo mnadai katiba mpya ila hujaisoma hata kifungu kimoja.