Maxence Melo: Changamoto za Vyombo vya Habari na kukosa Matangazo

Hayo ni maoni na mtazamo wake asiharibu lishe ya wengine, pombe dhambi ila kula tunda kimasihara unaenda ahera
 
Mkurugenzi Mtendaji wa JamiiForums Maxence Melo amesema vyombo vingi vya habari hukubali matangazo kwa kuwa yana hela nyingi

Kwa JamiiForums amesema wana sera ambayo inawafanya wakatae matangazo ya Pombe na Matangazo ya Betting japo yana hela.

Aidha Chombo cha habari kutegemea matangazo ni suala la zamani sana ni lazima kukubali kubadilika

Amesema ni suala la ajabu kwa vyombo kulilia matangazo.

Melo yuoko mubashara StarTv muda huu
Huyo melo mbona kama mtumiaji wa kvant
 
Back
Top Bottom