Maxence Melo: Changamoto za Vyombo vya Habari na kukosa Matangazo

Dah kweli lisemalo lipo. Wale jamaa wakijani waliwahi sema kuwa JF ipo funded na watu kutoka nje. Asa nadhani wao they take it as charity na nadhani moja ya masharti waliompa bwana JF ni pamoja na hayo yakutopakia ads za Industry Fulani Katika platform hii. Mana it makes no sense kwa media kukataa matangazo unless otherwise.

Kumbe Mataga walikuwa damn true kwa mara ya kwanza.
 
Yupo sahihi babu. Wao kama JF wana misimamo yao na moja ndio kama hivyo ni wao kutohusika directly katika ku promote unywaji wa pombe na kamari.

Kuwepo kwa nyuzi za pombe na kamari ambazo ni user created content na wala sio promo (ads) ambazo zinawaingizia hela hilo sio tatizo lao bali ni la sisi watumiaji tulioanzisha hiyo mijadala.
Nimeelewa mjukuu. Nilikuwa nachombeza
Naumwa....njaa inauma. .mwili hauna nguvu....kila kitu kimelegea
Pole sana kipenzi. Umejaribu kwenda hospitali au unataka nije kukumasaji?
 
Maxence Melo umepotea Sana ndugu yangu kwa kuwahukumu watu, wewe ni mfarisayo unayeona kibanzi Cha wenzako machoni mwao Wakati wewe Kuna boliti, acha magugu yakue pamoja na ngano, kwahiyo wakamalia na wanywa pombe hawafai kuwemo humu?
 
Back
Top Bottom