THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 16,143
- 12,542
Maxence Melo ....product ya DIT pale zamani Dar tech...mhandisi aliekataa kuajiriwa na kutumia elimu yake kuifuma tovuti moja maridadi ilikuja kuwa jukwaa LA heshima katika ukanda wa afrika mashariki na kati...kaka Maxence Leo yupo mahabusu,..pengne weledi wake umemponza....
Jamiiforums INA jukwaa LA ajira na matangazo madogo,biashara na Kilimo, afya, chitchat, Inteligensia, historia, lugha, siasa tena kwa weledi mkubwa.Kuna maadmin kila jukwaa wanaofanya kazi usiku na mchana kudhibiti na kuchuja taarifa kwa maslahi mapana ya taifa...jamiiforums imesaidia vijana kuona fursa za kimaisha na kupata ajira, imewajengea uwezo vijana wa Tanzania kuhusu kuhoji na kuthubutu, imerudisha tena utamaduni wa kujisomea na kujifunza Maarifa mapya...jamiiforums imefanya kazi sawa na chuo kikuu chochote duniani.
Yanayomkuta Maxence Melo yanaweza kufanana na hadithi nilizowahi kusimuliwa za vijana wanaogundua transmita redio ya fm then wanasekwa ndani,..au yule Mzee mhunzi wa helkopta akawekewa kauzibe.
Hili wimbi linaua tabia ya ubunifu na udadisi katika taifa...fikiria software developers walioko shule kama wanaweza tena kuwa na nguvu ya kuunda social forums kwa mazingira haya....
Sheria zetu tunazojitungia zinaweza kuchangia kuturudisha nyuma,.Katika karne hii ya sayansi na teknolojia dunia nzima itatushangaa,.
Mimi nadhani Maxence Melo alipaswa aungwe mkono katika juhudi zake...na sio hili linalomkuta.
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
Nimeikuta somhere.