Maxence kupitia JamiiForums, ametoa mchango mkubwa sana kwa taifa hili, Hastahili kukaa mahabusu

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Feb 28, 2012
16,143
12,542
Maxence Melo ....product ya DIT pale zamani Dar tech...mhandisi aliekataa kuajiriwa na kutumia elimu yake kuifuma tovuti moja maridadi ilikuja kuwa jukwaa LA heshima katika ukanda wa afrika mashariki na kati...kaka Maxence Leo yupo mahabusu,..pengne weledi wake umemponza....

Jamiiforums INA jukwaa LA ajira na matangazo madogo,biashara na Kilimo, afya, chitchat, Inteligensia, historia, lugha, siasa tena kwa weledi mkubwa.Kuna maadmin kila jukwaa wanaofanya kazi usiku na mchana kudhibiti na kuchuja taarifa kwa maslahi mapana ya taifa...jamiiforums imesaidia vijana kuona fursa za kimaisha na kupata ajira, imewajengea uwezo vijana wa Tanzania kuhusu kuhoji na kuthubutu, imerudisha tena utamaduni wa kujisomea na kujifunza Maarifa mapya...jamiiforums imefanya kazi sawa na chuo kikuu chochote duniani.

Yanayomkuta Maxence Melo yanaweza kufanana na hadithi nilizowahi kusimuliwa za vijana wanaogundua transmita redio ya fm then wanasekwa ndani,..au yule Mzee mhunzi wa helkopta akawekewa kauzibe.

Hili wimbi linaua tabia ya ubunifu na udadisi katika taifa...fikiria software developers walioko shule kama wanaweza tena kuwa na nguvu ya kuunda social forums kwa mazingira haya....
Sheria zetu tunazojitungia zinaweza kuchangia kuturudisha nyuma,.Katika karne hii ya sayansi na teknolojia dunia nzima itatushangaa,.

Mimi nadhani Maxence Melo alipaswa aungwe mkono katika juhudi zake...na sio hili linalomkuta.
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]

Nimeikuta somhere.
 
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]
[HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]
 
Ukiona wanapambana na watu wenye akili ujue wameshindwa kuona tatizo, wanapaswa kujiuliza kwa nini wananchi wanafichua siri nyingi au kwa nini wananchi wanaikosoa sana Serikali, wao badala ya kutatua changamoto zilizopo wanakimbilia kuwaziba na kuwatisha watu
 
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]<br />[HASHTAG]#TunamtakaBenAkiwaHai[/HASHTAG]<br />[HASHTAG]#JusticeForLema[/HASHTAG]<br />[HASHTAG]#usirudiekosa2020[/HASHTAG]
 
15622135_1323304704400187_6260389961402327144_n.jpg
 
**Usipoitambua thamani ya JF huwezi kumthamini Maxence Melo
-Ni kawaida ya binadamu kuangalia na kufuatilia mapungufu kuliko kuangalia faida ya mtu au kitu.
-Kuna mambo mengi wananchi wanafaidika na pia serikali inajifunza kwa kukosolewa au kuambiwa kupitia JF
-Unaweza usithamini ulicho nacho sasa lakini kikipotea ndio unakumbuka shuka wakati kumekucha.
 
Maxence Melo ....product ya DIT pale zamani Dar tech...mhandisi aliekataa kuajiriwa na kutumia elimu yake kuifuma tovuti moja maridadi ilikuja kuwa jukwaa LA heshima katika ukanda wa afrika mashariki na kati...kaka Maxence Leo yupo mahabusu,..pengne weledi wake umemponza....

Jamiiforums INA jukwaa LA ajira na matangazo madogo,biashara na Kilimo,afya,chitchat,Inteligensia,historia,lugha,siasa tena kwa weledi mkubwa,.kuna maadmin kila jukwaa wanaofanya kazi usiku na mchana kudhibiti na kuchuja taarifa kwa maslahi mapana ya taifa...jamiiforums imesaidia vijana kuona fursa za kimaisha na kupata ajira, imewajengea uwezo vijana wa Tanzania kuhusu kuhoji na kuthubutu, imerudisha tena utamaduni wa kujisomea na kujifunza Maarifa mapya...jamiiforums imefanya kazi sawa na chuo kikuu chochote duniani.

Yanayomkuta Maxence Melo yanaweza kufanana na hadithi nilizowahi kusimuliwa za vijana wanaogundua transmita redio ya fm then wanasekwa ndani,..au yule Mzee mhunzi wa helkopta akawekewa kauzibe.

Hili wimbi linaua tabia ya ubunifu na udadisi katika taifa...fikiria software developers walioko shule kama wanaweza tena kuwa na nguvu ya kuunda social forums kwa mazingira haya....
Sheria zetu tunazojitungia zinaweza kuchangia kuturudisha nyuma,.Katika karne hii ya sayansi na teknolojia dunia nzima itatushangaa,.

Mimi nadhani Maxence Melo alipaswa aungwe mkono katika juhudi zake...na sio hili linalomkuta.
[HASHTAG]#freemaxencemelo[/HASHTAG]

Nimeikuta somhere.
Ni kweli kabisa, kln ajue ya kwamba inatakiwa atoe ushilikiano na dola pale inapohitajika.
Sio yeye tu ukichukulia wengi wamiliki wa mitandao ya kijamii hutoa ushilikiano na selikari zao pale inapohitajika.
 
Bila shaka wewe ni Polisi...kwa mwandiko huu basi ni balaa,kama kwa kusaidiwa na kompyuta unaandika mwandiko mbaya hivi;Je ukipewa kalamu hati yako inakuwaje??Ndio maana mkaishia kubeba TIN NUMBER na Cheti cha BRELA
 
40 Reactions
Reply
Back
Top Bottom