Maxence civil rights organization

bnhai

JF-Expert Member
Jul 12, 2009
2,781
2,301
Mchango wa Maxence ni mkubwa mno. Tukio la hivi karibuni lituwazue kwamba bwana huyu anapigania haki za kiraia. Kwahiyo ninashauri ianzishwe taasisi yenye jina hilo ili kutambua mchango wake kwenye demokrasia na Uhuru wa kujieleza.
 
Kesho mambo yote yanakwisha, atatoka na hakuna kesi hapo hivyo hakuna haja ya kuwana na foundation.

[HASHTAG]#freemaxcencemello[/HASHTAG]
 
Mchango wa Maxence ni mkubwa mno. Tukio la hivi karibuni lituwazue kwamba bwana huyu anapigania haki za kiraia. Kwahiyo ninashauri ianzishwe taasisi yenye jina hilo ili kutambua mchango wake kwenye demokrasia na Uhuru wa kujieleza.
Too Much by Darasa
 
Back
Top Bottom