Maxcom wanahujumu mradi wa mabasi ya mwendo kasi

Ekyoma

JF-Expert Member
Dec 30, 2015
2,177
2,803
Sina uhakika kama hii habari nimeileta kwenye jukwaa sahihi ila naamin ujumbe utafika.

Bila kupoteza mda kama mjuavyo maxcom ndo wana tenda ya kukusanya pesa kwenye mradi wa BRT tenda iyo walipewa na UDART zifuatazo ni hujuma zinazofanywa na maxcom kuhujum mradi either kwa kujua au kwa kutokujua.

1. Change. Tangu mabas yameanza kaz kwao change limekua ni tatizo nauli ni 650 ila ukitoa buku unarudishiwa 300 eti 50 hawana change mwanzo nilzan ni swala la mda ila naona ni tatizo la kudum inawezekana vp daladala wawe na change kampun kubwa kama hii ikose change hili ni jipu.

2.Network kusumbua maxcom ndo wanadeal na swala zima la network ila network imekua ni shida mpaka wakati mwingine abilia urusiwa kupanda magar bureee ili ni zaid ya jipu

3. Mtu mzima kupewa tiket ya mwanafunzi ili limekua zaid ya tatizo watu wazima wanapewa tiket za wanafunzi kwa maana nyingine watu wanalitia shieka hasara.

4. Tiket kutoonyesha kiasi ulicholipia. Tiket zinazotumika zote zote hazionyeshi kias kitu ambacho ni hatari na kinaleta maswali mengi.

Kwa sababu izo ni waz kabisa maxcom wanaujum mradi kwa kulikosesha shirika mapato ya kuotosha lakin kupunguza iman kwa wateja wanaotumia usafiri huu ili ni zaidi ya busha cjui nan ana mamlaka ya kulitumbua
 
Tatizo ni kuwa tecnology yetu ipo chini sana sio tuo huko hata simu zetu ni hasara
 
Ni vizuri watumiaji wa DART wakiendelea kutoa maoni kama hivi. Hii iiishie JF, ipelekwe kwa wasimamizi wa DART na halmashauri ya jiji...
 
Sina uhakika kama hii habari nimeileta kwenye jukwaa sahihi ila naamin ujumbe utafika.

Bila kupoteza mda kama mjuavyo maxcom ndo wana tenda ya kukusanya pesa kwenye mradi wa BRT tenda iyo walipewa na UDART zifuatazo ni hujuma zinazofanywa na maxcom kuhujum mradi either kwa kujua au kwa kutokujua.

1. Change. Tangu mabas yameanza kaz kwao change limekua ni tatizo nauli ni 650 ila ukitoa buku unarudishiwa 300 eti 50 hawana change mwanzo nilzan ni swala la mda ila naona ni tatizo la kudum inawezekana vp daladala wawe na change kampun kubwa kama hii ikose change hili ni jipu.

2.Network kusumbua maxcom ndo wanadeal na swala zima la network ila network imekua ni shida mpaka wakati mwingine abilia urusiwa kupanda magar bureee ili ni zaid ya jipu

3. Mtu mzima kupewa tiket ya mwanafunzi ili limekua zaid ya tatizo watu wazima wanapewa tiket za wanafunzi kwa maana nyingine watu wanalitia shieka hasara.

4. Tiket kutoonyesha kiasi ulicholipia. Tiket zinazotumika zote zote hazionyeshi kias kitu ambacho ni hatari na kinaleta maswali mengi.

Kwa sababu izo ni waz kabisa maxcom wanaujum mradi kwa kulikosesha shirika mapato ya kuotosha lakin kupunguza iman kwa wateja wanaotumia usafiri huu ili ni zaidi ya busha cjui nan ana mamlaka ya kulitumbua
Nauungana nanyi wadau,maxcom wanatuibia kabisa,kwanini wanatupa tiketi ambazo hazionyeshi kiasi,chenchi kila siku hawana kwanini waliamua kuweka nauli 650/=?kwanini wasingeweka nauli 500/= hili wasipate shida ya chenchi?wezi tu hawa!
 
Back
Top Bottom