N Nyakazeze Member May 7, 2014 36 7 May 23, 2014 #1 Maxmilian John Ngude, mwandishi wa Mlimani TV. na mpiga picha nguli wa Tanzania amefariki dunia, RIP Max Attachments MAX.jpg 29.9 KB · Views: 2,185
Maxmilian John Ngude, mwandishi wa Mlimani TV. na mpiga picha nguli wa Tanzania amefariki dunia, RIP Max
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,145 13,216 May 23, 2014 #2 ahhhhhhhhh, namfahamu alikua anajituma sana huyu RIP Max
M Manyerere Jackton JF-Expert Member Dec 11, 2012 2,436 4,429 May 23, 2014 #3 He, jamani. Mbona hivi? Kweli kifo hakina huruma.
HARUFU Platinum Member Jan 21, 2014 31,552 48,148 May 23, 2014 #5 Kaburini ni mwanzo, alale kwa amani huko aendako. Pole iwaendee ndugu na jamaa wake wa karibu
Chipukizi JF-Expert Member Mar 12, 2009 3,949 5,980 May 23, 2014 #8 Du yaani hili jembe limetutoka?nnamfahamu toka yupo changamoto RIP jembe
muhomakilo jr JF-Expert Member Jul 28, 2013 13,427 9,922 May 23, 2014 #9 Poleni familia,apunzike anapostahili..
MUSSA ALLAN JF-Expert Member Oct 13, 2013 18,925 13,259 May 23, 2014 #10 Hapa hatuna mji udumuo ...Pumzika kwa Amani MAX.
D Dafugwadu JF-Expert Member Dec 24, 2012 4,487 4,757 May 23, 2014 #11 Manyerere Jackton said: He, jamani. Mbona hivi? Kweli kifo hakina huruma. Click to expand... Wewe unaijua siku yako ya kufa? Mbona mnapenda kumpangia Mungu majukumu yake! Apepe Max.
Manyerere Jackton said: He, jamani. Mbona hivi? Kweli kifo hakina huruma. Click to expand... Wewe unaijua siku yako ya kufa? Mbona mnapenda kumpangia Mungu majukumu yake! Apepe Max.
H Hume JF-Expert Member Sep 25, 2007 340 108 May 23, 2014 #12 Aliipenda kazi yake sana, kazi ya bwana haina makosa
kabanga JF-Expert Member Dec 12, 2011 37,205 18,474 May 23, 2014 #13 mungu amlaze mahala stahili yake....
Kennedy JF-Expert Member Dec 28, 2011 49,015 54,297 May 23, 2014 #15 Alazwe pema peponiray2:ray2::A S-rose::A S-rose::A S-rose::rip:
PAPAA JIWE JF-Expert Member May 12, 2014 863 134 May 24, 2014 #17 Bwana ametoa, Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe.
Mpita Njia JF-Expert Member Mar 3, 2008 6,997 1,163 May 24, 2014 #18 Roho yake ipumzishwe mahali pema