Max, mlimani TV afariki

Nyakazeze

Member
May 7, 2014
36
7
Maxmilian John Ngude, mwandishi wa Mlimani TV. na mpiga picha nguli wa Tanzania amefariki dunia, RIP Max
attachment.php
 

Attachments

  • MAX.jpg
    MAX.jpg
    29.9 KB · Views: 2,185
Kaburini ni mwanzo, alale kwa amani huko aendako. Pole iwaendee ndugu na jamaa wake wa karibu
 
Du yaani hili jembe limetutoka?nnamfahamu toka yupo changamoto RIP jembe
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom