Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
magazeti yakiandikwa kihuni(ki hapa na pale)mnaona sawa,yakichukuliwa hatua stahiki ndo mnaona uhuni.Huu ni uhuni ,ndo maana hata wamereka wemetunyima fedha za mcc.....ila gazet limefungwa kwa kutumia sheria ya magazet
Bado Africa inahitaji kutawaliwa tena ili watu wawe na akiliKwa hiyo huyo Nape huwa hauoni uchochezi unaofanywa na Uhuru na Tazama.
Tunachofahamu ni kuwa hilo gazeti la Mawio ni la kiuchunguzi, kwa hiyo kama Nape anaona kuna habari za uwongo zimechapishwa na gazeti hilo angelipeleka mahakamani, kwa kuwa huko ndiko kungejulikana mbivu na mbichi.
Tatizo la viongozi wengi wa kiafrika huwa wanataka vyombo vya habari viwaandike kwa mazuri pekee, kinapotokea chombo cha habari chenye mlengo wa kukosoa serikali iliyoko madarakani kwa nia njema na kwa maslahi mapana ya Taifa ili serikali hiyo ijirekebishe, viongozi wa ki-imla huwa wanakuwa 'mbogo' kama alivyofanya Nape kwa kushusha rungu kwa Mawio.
Mawio wameshajinyea tayari,Siungi mkono kwa serikali kuvifungia vyombo vya habari kwa makosa ya kukiuka maadili; mfano ni huu wa kulifungia gazeti la MAWIO permanently kwa kumuandika kuwa mtoto wa mfalme alikuwa anagawa UDC kwa wakina Makonda etc kwa kumfanyia mambo yake!!! Yeyote aliyeathirika na chapisho hilo alitakiwa kulishitaki gazeti hilo na mahakama ndio ingeamua; kama makosa yangethibitika mahakama kwa kutoa adhabu kali ambayo hata ingeweza kulifilisi gazeti hiyo ndio ingekuwa njia halali ya kuthibiti magazeti yasiyofuata maadili!!
...nyie mbayuwayu; hivi mlishawalipa fidia yao?!Nasubiri mwanahalisi, watanyoooka tuu
safiiii ilo gazeti limekua sani au kiu,,bado iyo mwana halisi nayo wairudie
Na hilo ni gazeti lake...Safi sana. Bado yule wa elimu ya hapa na pale.
Safi sana. Bado yule wa elimu ya hapa na pale.
Hilo la MwanaHaramu nalo lina viziwa ni suala la muda tu !Siasa.tutasoma mwanahalisi
Acha unafiki wewe. Kwani kushindwa kessi ndo mwisho wa kufanya kazi?Yaan ni uzembe mwingine juz serekali imeshindwa kesi mahakaman na gazeti la mwanahalisi ,serekali inadaiwa mamililio leo tena mawio limefungwa badae utashangaa tena serekali imeshindwa kesi wanadaiwa mamilion....Nape tuonee huruma na kod