Mawio newspaper permanently banned with effect from January 15th, 2016

Sioni ajabu kwasababu huyu anasumbuliwa na ushabiki na ukada wa chama chake kuliko maslahi mapana ya wananchi wote.Inafaa arudishwe kwenye chama akafanye propaganda
 
Nlitegemea hilo,sheria ibadilishwe mahakama iwe ndio chombo.pekee cha kufunga magazeti baada ya kila pande kupewa haki ya kusikilizwa, sitashangas kusikia Tanzania daima,mtanzania na mwananchi nayo yakafungiwa na mzee wa bao la mkono
 
Huu ni uhuni ,ndo maana hata wamereka wemetunyima fedha za mcc.....ila gazet limefungwa kwa kutumia sheria ya magazet
magazeti yakiandikwa kihuni(ki hapa na pale)mnaona sawa,yakichukuliwa hatua stahiki ndo mnaona uhuni.
 
kwani serikali inavumilia criticisms...it was expected anyway

Na watawalipa Mawio mamilioni kama ilivyokuwa kwa mwanahalisi

mwanahalisi itaendelea kuwa sokoni
 
Kwa hiyo huyo Nape huwa hauoni uchochezi unaofanywa na Uhuru na Tazama.
Tunachofahamu ni kuwa hilo gazeti la Mawio ni la kiuchunguzi, kwa hiyo kama Nape anaona kuna habari za uwongo zimechapishwa na gazeti hilo angelipeleka mahakamani, kwa kuwa huko ndiko kungejulikana mbivu na mbichi.
Tatizo la viongozi wengi wa kiafrika huwa wanataka vyombo vya habari viwaandike kwa mazuri pekee, kinapotokea chombo cha habari chenye mlengo wa kukosoa serikali iliyoko madarakani kwa nia njema na kwa maslahi mapana ya Taifa ili serikali hiyo ijirekebishe, viongozi wa ki-imla huwa wanakuwa 'mbogo' kama alivyofanya Nape kwa kushusha rungu kwa Mawio.
Bado Africa inahitaji kutawaliwa tena ili watu wawe na akili
 
Siungi mkono kwa serikali kuvifungia vyombo vya habari kwa makosa ya kukiuka maadili; mfano ni huu wa kulifungia gazeti la MAWIO permanently kwa kumuandika kuwa mtoto wa mfalme alikuwa anagawa UDC kwa wakina Makonda etc kwa kumfanyia mambo yake!!! Yeyote aliyeathirika na chapisho hilo alitakiwa kulishitaki gazeti hilo na mahakama ndio ingeamua; kama makosa yangethibitika mahakama kwa kutoa adhabu kali ambayo hata ingeweza kulifilisi gazeti hiyo ndio ingekuwa njia halali ya kuthibiti magazeti yasiyofuata maadili!!
 
Mawio wameshajinyea tayari,

Kama boss wao anavyofanyaga akikaribiwa na tingatinga
 
Yaan ni uzembe mwingine juz serekali imeshindwa kesi mahakaman na gazeti la mwanahalisi ,serekali inadaiwa mamililio leo tena mawio limefungwa badae utashangaa tena serekali imeshindwa kesi wanadaiwa mamilion....Nape tuonee huruma na kod
 
nape ameanza vibaya sana kwenye ngazi ya uwaziri,lkn tulijua huyu kwa tabia zake lazima atalifungia gazeti ambalo aliandiki habari za ccm
haki itatendeka tu huwezi kuzuiya mafuriko kwa mkono
 
Hawezi anataka aonekane anafanya kazi.Sasa asubiri Serikali idaiwe uwaziri itakuwa basi
 
...magamba mnakenua humu ndani,wakati mimi ninawasikitikia,siku sio nyingi mtalipa fidia tena.
 
Alichofanya Nape na Serikali ya Mafisi ya CCM ni ukandamizaji wa vyombo vya habari.Hapa TANZANIA tunadanganyana maana kiukweli hakuna UHURU wa media kabisa.
Seriksli ya Mafisi ya CCM haitaki kukosolewa wala kusahihishwa! Huu ni ujinga ambao laxima ukomeshwe!
 
Yaan ni uzembe mwingine juz serekali imeshindwa kesi mahakaman na gazeti la mwanahalisi ,serekali inadaiwa mamililio leo tena mawio limefungwa badae utashangaa tena serekali imeshindwa kesi wanadaiwa mamilion....Nape tuonee huruma na kod
Acha unafiki wewe. Kwani kushindwa kessi ndo mwisho wa kufanya kazi?
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom