Mawingu yanalipa Kodi?

Babu Ubwete

Senior Member
Jan 26, 2008
169
29
Kuna ukweli kwamba kila event hapa nchini kwa namna moja au ingine mawingu kampuni kupitia kampuni matawi kama Prime time huwa wanapewa tenda kwa kificho au ndani ya bahasha za khaki mfano zinduka,Ishi, na majuzi Miss Tz ambapo unakuta V-house set up ilipewa prime time coordinator akiwa Kemi gbaza mutahaba. Tunataka kufahamu hawa watu wanalipa kodi au ndio wanatuchakachua. Juzi tuu Obama amewaongezea kodi wamarekani matajiri. mawingu sasa mna turn over kubwa isiyokuwa audited Tra mnatuambia mnachukua kodi kiasi gani kwenye haya mafiesta?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom