Beberu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2017
- 3,931
- 7,912
naomba nielekeze kuhusu light yearsYaani kutokana na jina unalotumia hapa Jf nikajua unayajua haya mambo lakini niliposoma changisho lako nimechoka lol. Kama kitu huna knowledge nacho ni vyema kuuliza ukaelekezwa kuliko kubisha. Kuna kitu kinaitwa light years; tunapima umbali wa nyota tokea tulipo ( duniani) kwa kasi ya mwanga. Utakapohitaji ufafanuzi zaidi uliza
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app