Mawe ya thamani

Secret Star

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
1,720
1,639
Jamani wana wa kisomo, nina kaswali hapa huwa najiuliza na sipati jibu, swali hilo ni juu ya haya mawe ya Thamani.

Kama Ruby, Spinel, Tourmaline, Na mengine mengi, Kinachonitatiza ni kwamba inakuwaje jiwe kwa mfano Ruby Gram moja tu iuzwe Tsh Mil 200!!

Au kwa mawe mengine hata zaidi ya hapo! Swali ni urembo tuu kama tunavyoambiwa, au kuna mambo mengine nyuma ya pazia huwa mawe yanafanya !?

Utoe yale mawe yenye kazi zaidi ya urembo kama Diamond, Sapphire na nk.
 
Back
Top Bottom