Mawazo yangu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mawazo yangu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by banizle, Jul 14, 2011.

 1. banizle

  banizle JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2011
  Joined: Dec 15, 2008
  Messages: 218
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Me naona kizazi kijacho kitakua tofauti kidogo na hichi cha kwetu, nakumbuka enzi zile nikiwa junior schools nikienda shule kila mkubwa ninayekutana nae lazima nimsalimie, ila siku hizi hawa watoto adabu kwa wakubwa hawana kabisa, dogo unamkazia macho lakini anakupita hivi hivi, me nahisi mashuleni kwao hawafundishwi nidhamu kama enzi zile. Haya ni mawazo yangu tu wanajamii.
   
Loading...