Mawazo yangu: Waziri wa Maji ndiye kiongozi anayehangaika sana awamu hii

Anajitahidi, lakini naona uwepo wa RUWASA umeibeba sana hii wizara. RUWASA imeziba madhaifu mengi ya watendaji wa wizara ya maji.
 
Wakuu guys Mh. Aweso anajitahidi sana, Japo tatizo la maji ni kubwa ila jinsi anavyokomaa huku na kule binafsi ananifurahisha sana.

Nimekuwa nikimfuatilia katika ukurasa wake FB, Leo yuko huku kesho kule hatulii sehemu moja kuhakikisha angalau mambo ya maji yanapiga hatua.

Wote wangekuwa active hivi hii nchi ingepiga hatua Japo Kwa kuchechemea.
mmetumwa....lakini mmebugi step....mmkajipange upya........yaani msiende mbali mfano rahisi ni kama DODOMA MAKAO MAKUU YA NCHI HAKUNA MAJI 60+ YEARS BAADA YA UHURU.......Yaani huwa sielewi kwa nini ninakaa approx.3km from town centre halafu maji ni ya kuvizia....Huwa siamini kama jambo hili limeshindikana kabisa kabisa....nahisi kuna mambo mengi siyaelewi..
 
Kwa kweli Komredi Jumaa Aweso anayatendea haki MAJUKUMU YAKE MAKUBWA......

Jamaa ni mkweli haswa....
Jamaa anajitambua haswa.....

Jamaa ni mzalendo wa kuigwa💪

#NchiKwanza
#SiempreJMT
Ukiona Kiongozi anafanya majukumu ya wengine basi ujue hajui anachotakiwa kufanya......wananchi wanataka maji na siyo kiki za kwenye social media..kule Handeni ,Kilindi,Kiteto hakuna maji tangu milele yote.....Hospitali ya Manyoni ni moja ya hospitali kongwe hapa nchini lakini nilipita mwaka jana wallikuwa wanahangaika na kisima na nikaambiwa kilibuma pia....yaani aibu
 
Upo.sahihi.Watu wenye uwezo mdogo ndiyo watamuona anafanya kazi.Aweso ni mzurulaji tu na mtafuta posho za kila siku.
Waziri kuwa kwenye visima daily ni kutafta posho pia inaonyesha wizara yake ina utendaji mubovu na hakuna chain of command na hata hao wa mkoani na wilayani hawajui kazi zao, Yani mfumo wao wa utendaji ume paralyze inabidi tu ufumuliwe, wizara ingetakiwa aletewe report za monitoring na progress za miradi basi, sio kupiga picha na mabomba na ma tank hyo ni failure.
 
Sio yeye pekee hata naibu wake Yuko site mida mingi mnyonge mnyongeni haki yake mpeni...JPM Aliona mbali kumuweka huyu baba kwenye hii wizara.tumeona kazi za ruwasa wilayani huko na pia department ya water resources inafanya vzr Sana mkurugenzi wake Ni mtu mfuatiliaji sana...taasisi ya DDCA kuhamishiwa ruwasa nayo imezaa matunda Sana tulio site tunaona kwa kweli jinsi kazi zinavyochapwa...pongezi kwao maboss wangu hao bila kusahau katib mkuu na watumishi wote wa wizara ya maji
Waboreshe mfumo wa malipo kwa Suppliers..Watu mitaji inaisha kisha kucheleweshewa malipo..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Waziri mwizi kama nini! Alipiga madili akiwa naibu waziri, sasa anajifanya mchapakazi sana! Tunazo taarifa za kudakishwa pesa na marafiki zake ndani ya wizara hadi sasa.
Ccm Ni ukoo wa panya wote wezi tofauti Ni viwango vya upigaji tu..
Kwhy mwache nae aibe Kama wenzie tu..katiba inawaruhusu
 
Wakuu guys Mh. Aweso anajitahidi sana, Japo tatizo la maji ni kubwa ila jinsi anavyokomaa huku na kule binafsi ananifurahisha sana.

Nimekuwa nikimfuatilia katika ukurasa wake FB, Leo yuko huku kesho kule hatulii sehemu moja kuhakikisha angalau mambo ya maji yanapiga hatua.

Wote wangekuwa active hivi hii nchi ingepiga hatua Japo Kwa kuchechemea.
 
Waziri kuwa kwenye visima daily ni kutafta posho pia inaonyesha wizara yake ina utendaji mubovu na hakuna chain of command na hata hao wa mkoani na wilayani hawajui kazi zao, Yani mfumo wao wa utendaji ume paralyze inabidi tu ufumuliwe, wizara ingetakiwa aletewe report za monitoring na progress za miradi basi, sio kupiga picha na mabomba na ma tank hyo ni failure.
Vipi kama aletewe na bado anakwenda kuhakiki.

Sioamini kama hakuna kinachokuja mezani kwa waziri kama report.

Hivyo kuwa field inampa uwanja mpana wa kujadili katika vikao na evaluation maana anajua kinachoendelea field.
 
Kuwa field hyo ni kazi ya watendaji wa chini sana tena ngazi ya wilaya au kata
 
Kuwa field hyo ni kazi ya watendaji wa chini sana tena ngazi ya wilaya au kata
Kuna mtu aliniambia hayati Ben Mkapa aliwahi kuzindua mradi wa maji kumbe walikuwa wamemtegeshea vimaji kwenye katank huku yeye anaamini anazindua mradi wa maji ya bomba endelevu.

Ukijulikana ni mtu wa ofisini tu na kupokea taarifa watu wanazojua ndio unazitaka sio unazopaswa. Kwa mtazamo wangu system ya utendaji nchini inahitaji utwange kotekote.

Angekuwa waziri wa maji wa Singapore au Taiwan ningekukubalia kabisa mkuu.

Tumpongeze Kijana anafanya vyema.
 
Pangani oyee.....
Sasa hivi inajengwa barabara ya kiwango Cha four lanes kutoka TANGA city kwenda Pangani kupitia Kirare. Lkn pia itajengwa nyingine toka Pangani Hadi Bagamoyo kupitia Mwera, Mkwaja.
Tutakua tunakunywa chai TANGA, lunch Dar na kuwahi kurudi kula dinner TANGA.
Haliwezekani hili,pana mbuga pale ya saadani.
 
Wakuu guys Mh. Aweso anajitahidi sana, Japo tatizo la maji ni kubwa ila jinsi anavyokomaa huku na kule binafsi ananifurahisha sana.

Nimekuwa nikimfuatilia katika ukurasa wake FB, Leo yuko huku kesho kule hatulii sehemu moja kuhakikisha angalau mambo ya maji yanapiga hatua.

Wote wangekuwa active hivi hii nchi ingepiga hatua Japo Kwa kuchechemea.
Hana lolote ni mpiga dili kinyama sema humjui ni type ya marehemu
 
Kuna mtu aliniambia hayati Ben Mkapa aliwahi kuzindua mradi wa maji kumbe walikuwa wamemtegeshea vimaji kwenye katank huku yeye anaamini anazindua mradi wa maji ya bomba endelevu.

Ukijulikana ni mtu wa ofisini tu na kupokea taarifa watu wanazojua ndio unazitaka sio unazopaswa. Kwa mtazamo wangu system ya utendaji nchini inahitaji utwange kotekote.

Angekuwa waziri wa maji wa Singapore au Taiwan ningekukubalia kabisa mkuu.

Tumpongeze Kijana anafanya vyema.
Uongo tupu, kamati ya ulinzi na usalama isijue? kila kijiji utafika kushuhudia?
 
.waziri pekee mwenye staha na uchapa Kazi makini ni waziri WA ardhi lukuvi...anafanya Kazi kisomi wakati hata PhD wala master's Hana ..
 
Siku zote tangu yuko naibu maisha yake ni site sio maneno.

Kuhusu tuhuma peleka kwa wahusika kamakweli. Ila binafsi natambua juhudi zake, maana kila kiongozi huwa anatuhuma sasa Hata kama unatuhuma isikuzuie kutenda.
Tuhuma tupeleke wapi? Kwani hapa ni sehemu ya kuleta pongezi? Peleka Bungeni na nyumbani kwake.
 
Back
Top Bottom