Mawazo yangu binafsi, naombeni na ushauri wenu juu ya hii Milioni 15

Tafuta namba za yule jamaa Ontanario akufundishe Forex uwekeze uanze kudownload pesa wiki tu unanunua kavitz ka kuanzia mwezi ukiisha unamiliki Range...
 
Bwana mdogo...mawazo ntakayokupa hapa wenzio hulipia ila sabab malaika wako mkubwa leo wacha nikupe mawazo.

1.achana na kwenda mwanza..kama uko dar..nenda rufij au bagamoyo kuna maeneo nayajua ekar utapata kwa lak4..ila angalizo..ukienda usinunue nunue tuu...kule kuna maeneo fertile na maeneo ambayo sio fertile...chkua ekar zako 4...fanya hyo mambo ya ufugaj
Hyo nyumba ya kujenga jenga vyumba viwil visizid mil5..yaan hapo kiila kitu.

Hela inayobak..mil5..weka bank..ipige fix kabisaa...sasa hyo nyingne inayobak ndo uanze hangaika nayo..na tena usianze biashara ya zaid ya 2m....yaan rud 0 kabisa..kama huna aibu anza kukomaa.hakikisha hyo biashara inakupa hata elf10 kwa siku.

Na hapo ndo kwenye mtihan.umiza sana kichwa kujua ufanye biashara gan...sabab amini nakwambia..ukifata ushaur wa watu wanaokwambia uanze tu biashara na hyo hela..hela yoote hyo itaisha na hutaamin ila utanikumbuka.

Na pia hyo biashara unayoanza usianze tu mwenyew..tafuta mentor yaan mtu ambae tayar anafanya nawew uingie kat hapo.mwombe akuelekeze anafanyaje uende nae sawa..

Nmemaliza.
Bagamoyo kama sehemu gani mkuu naweza pata maeneo kwa hiyo gharama?
 
Back
Top Bottom