kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,784
- 20,155
Hivi watanzania nani katuroga?
Hivi kweli TCRA na hayo makampuni ya ving'amuzi yanavunja sheria ya nchi yetu huku tukiwa kimya?
Kwanini sheria tumeziweka wenyewe tunaziacha zinavunjwa?
Hao wachina wa Startimes na hawa Continental, Ting kwanini tunawaogopa kuwashtaki?
Yaani tunazibwa mdomo na uhuru wa habari kwa local channel kuonekana bure halafu tunakaa kimya?
Ingekua ni nchi nyingine hata za jirani si ingekua washashtakiwa?
Kwa pamoja tuandae utaratibu wa kufungua kesi mahakamani.
Hili jambo halikubaliki JamiiForums fungueni kesi juu ya hili pls tupo tayari hata kuchangia fedha za kuwezesha kesi.
Tujadili kwa pamoja namna gani tuorganise tuwafungulie kesi TCRA na hayo makampuni ya ving'amuzi
@FreeLocalChannel