Mawazo ya mwalimu Analogia kuhusu siasa

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Messages
1,331
Points
1,500

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined Feb 24, 2012
1,331 1,500
Ninapolalamikia uchaguzi wa serikali za mitaa uliopita, nalalamika kutokana na kazi yangu.

Maeneo mengi wamepita bila kupingwa, hali iliyofanya walimu tukose namna ya kuwa wasimamizi wa vituo ili tupate hela ya kununua sugar, au walau kupiga bia mbili tatu.

Tumepata hela kidogo kwenye uandikishaji, japo muamko ulikuwa mdogo, ila uzuri tunalipwa kwa siku na sio kwa idadi ya watu tunaoandikisha.

Next time plz nyie wadau wa vyama vya siasa msisuse mapema, walau msuse siku ya uchaguzi yenyewe ili sisi tuwe tayari tushapewa posho.

Maisha maguu jamani.

Mwalimu wenu
 

Mishenyi

Member
Joined
Oct 6, 2019
Messages
97
Points
150

Mishenyi

Member
Joined Oct 6, 2019
97 150
Watu walichagua bandari,tea,bima,uwekezaji nk. We ukachagua ualimu !!!!!!! Kafie mbele,, yaani ualimu tena bongo!!!! Na walimu wa bongo walivyo watupu vichwani ndivyo mtakavyokula makombo mpaka mnakufa,,, askari wa bongo nao wale wale njaa tupu hivi posho washaongezwagwa????? Au mbabe wenu bado anawanyoosha???
 

Mishenyi

Member
Joined
Oct 6, 2019
Messages
97
Points
150

Mishenyi

Member
Joined Oct 6, 2019
97 150
Mwalimu bongo duh!!! Nilitoka bongo nkaacha mwl ana kamshahara ka ajabu,askari nao nimetoka bongo wana ka posho eti laki tatu!!! Yani pamoja na kuwalinda wanasiasa wahuni wa bongo bado askari nae choka mbaya tu huwa namuonea huruma mdogo wangu
 

Forum statistics

Threads 1,379,054
Members 525,304
Posts 33,733,372
Top