Mawazo ya Cheap Girls

DATEMWAMI

Member
Jan 29, 2019
24
10
1.Wanawaza kuwa na handsome kuliko wote duniani
2.Anawaza kuwa na mwanaume ambaye amejitosheleza kiuchumi
3.Anawaza akiwa kwenye mahusiano na mtu aliyefanikiwa na yeye atafanikiwa hata bila kujifunza njia za kupata mafanikio
 
1.Wanawaza kuwa na handsome kuliko wote duniani
2.Anawaza kuwa na mwanaume ambaye amejitosheleza kiuchumi
3.Anawaza akiwa kwenye mahusiano na mtu aliyefanikiwa na yeye atafanikiwa hata bila kujifunza njia za kupata mafanikio
Baada ya kutambua hilo unawashauri nini mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umesahau nyingine.......

1.Wanaamini kuwa mwanaume anayempenda kwa dhati ataonyesha hivyo kwa kutoa pesa hata kama hali yake ni ngumu kiuchumi. Na atalipa bili zote na gharama za kimaisha wiki ya kwanza tutokea wajuane.

2.Wanaamini miili yao ni dhamana ya mahusiano na sio hekima na uwezo wao wa kiakili katika kupanga maisha.

3. Wanatumia ushauri wa marafiki au ndugu zao, na post za mitandao ya kijamii za watu waliofeli mahusiano kama reference badala ya vitabu vitukufu vya MUNGU na mafundisho yake.

4. Wanaamini wanaweza kuwa na mwanaume yoyote sababu wanaume tunafanana so akiwa na huyu atakuwa careless sababu kama huyu akimuacha basi ataanza upya na yule bila kujua muda si rafiki.

5. Wanaamini mahusiano msingi wake ni pesa na hayawezi kuanza bila pesa. Nikisema pesa namaanisha mamilioni. Kwao mtu anayepokea laki tano sio wa maana kwao.

6. Wanaamini kuwa jambo lolote zuri na jema kufanyiwa ni lazima ila kwao kufanya jambo jema kwa wenzi wao ni hiyari kama akili yake itaruhusu.

7. Kwao mahusiano ni vita maridhiano na muafaka.

8.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom