Mawazo ushauri mitazamo ..message hizi zinawafikiaje walengwa .....? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mawazo ushauri mitazamo ..message hizi zinawafikiaje walengwa .....?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by FirstLady1, Nov 5, 2009.

 1. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #1
  Nov 5, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  JF Siasa ni jukwaa ambalo limekuwa na wapenzi wengi wenye upeo mkubwa sana wa kuona mbali ..na wenye ushauri wenye hekima unaozama ndani sana na kwa kina kabisa ambao wahusika wakitekeleza ushauri na mawazo haya nchi yetu haitaendelea kuwa katika wimbi kubwa la umasikini,ufisadi ,Umeme na huduma nyingine muhimu kwa wananchi

  Je message hizi zinawafikia walengwa kweli ??

  [​IMG]

  FL1
   
 2. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #2
  Nov 5, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  hehehheee,kumbe ujumbe wa tiba jana ulifika mahali sahihi ,leo mamaa umeamua kujikita kwenye siasa, hehehe.
  kujibu swali lako,wale mafisadi wenyewe unawafikia vizuri ila wana mioyo migumu kama wana wa Israel.Hawataki kubadilika.Halafu hata humu JF wengine ni member.
  Na hao victims wa ufisadi yaani wadanganyika hauwafikii,kwa kuwa wapiga kura wengi wapo vijijini ,halafu hawana kompyuta kama mimi na wewe.
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Nov 5, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,136
  Trophy Points: 280
  ndio maana kwenye baadhi ya maofisi ya serikali wameiblock jamii forums website,
  ili kuziba masikio.
  ujumbe unawafikia ile kisawasawa
   
 4. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #4
  Nov 5, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  What can we do to make all these msgs delivered to Wadanganyika?
   
 5. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #5
  Nov 5, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Vizuri sana, tena sana, lakini ingekuwa vizuri zaidi na zaidi kama maujumbe na michakato yoote inayojadiliwa humu (ya kisiasa) ingewafikia Wananchi wote hasa wa vijijini na hata wa mjini ambao hawana vyanzo vya habari kama hivi. How do we go about this?
   
 6. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #6
  Nov 5, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  sipati picha baadhi ya ofisi wameblock jamii forum ,,wakimaanisha hawataki kukosolewa maovu yao ..nchi hii ina hatari kweli kweli
   
 7. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #7
  Nov 5, 2009
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  ZD unajua kuna vitu huwa vinatuumiza sana vichwa lakini mwisho wa siku unajikuta umegonga ukuta

  Natamani siku moja wanipe nafasi niingie pale mjengoni nikawe Pilato nianze kutoa hukumu za haki grigriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
   
 8. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #8
  Nov 5, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Firstlady ujumbe una wafikia walengwa wote. Tatizo ni kama wana fanyia kazi yanayo semwa humu. Kumbuka information is power and those in power I guarantee you are interested to know what people know and are saying.
   
 9. Z

  Zion Daughter JF-Expert Member

  #9
  Nov 5, 2009
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 8,936
  Likes Received: 58
  Trophy Points: 145
  Sababu unayo, na uwezo unao pengine nia ndio hauna.anzia kwanza kuingia kwenye vyama vya akina mama chama chochote cha siasa,chadema au ccm.then huko hakikisha unaukwaa uongozi then utakuwa na nafasi kubwa ya kuwa decion maker.
  vinginevyo anzisha NGO ya wanaharakati kama HAKIELIMU NA TAMWA,ili upate mdomo wa kukemea angalau.
   
 10. M

  Magezi JF-Expert Member

  #10
  Nov 5, 2009
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,827
  Likes Received: 87
  Trophy Points: 145
  FL,Ujumbe wa yote tunayo jadili humu JF unawafikia walengwa lakini kama ZD alivyosema mafisadi na serikali yao wana roho ngumu kama chuma. Lakini sisi tuendelee kueleza umma na tufichue mauchafu yaliyomo maofisini mwetu mpaka watajua maana ya JF ni nini.
   
 11. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #11
  Nov 5, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  I personally haven't seen the impact of JF. Hapa ni sehemu watu wanapeana moyo na kujifanya wajuaji! Utekelezaji 0. No one dares to go beyond their keyboard! ivi kweli wewe unajaribu kumshauri PM? Wewe ni nani? Eti unasema Kikwete kashindwa...wewe ni nani? Ni sawa kama members wenye impact kama Slaa au Zitto wangeyasema hayo. Lakini wanayoyasema kwanza wameficha true ID zao!hahaha
  MWJJ aliandika ripoti ya yale machimbo, ikauzwa hapa!! What happened? Kikwete is still the president and am 80% certain atakuwa rais in 2010! At the same time, JF will still be on air...reaching <1% of the population. Mkitaka kuwa na impact zaidi...NI LAZIMA ku-take part in the community! Jengeni mashule, safisheni miji, fanyeni yote mnayoyapigia kelele hapa.
  But dont get me wrong, I like JF na inatoa habari nyingi. But impact wise...0. Anyway, that's my take.... So hate me!
   
 12. Kasheshe

  Kasheshe JF-Expert Member

  #12
  Nov 5, 2009
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 4,690
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  15% ya mawazo ya JF, yanachukuliwa na magazeti, na 5% ya hayo mawazo yaliyopo kwenye magazeti yanasomwa na wahusika. 1% ya mawazo yanasomwa na wahusika, yanafikiriwa kufanyiwa kazi, na 0.1% ya yanafikiriwa yanatekelezwa na ni only 0.001% ya mawazo yanayotekelezwa yanatekelezwa kama ilivyotakiwa.
   
 13. Mopao Josee

  Mopao Josee JF-Expert Member

  #13
  Nov 5, 2009
  Joined: Jul 15, 2009
  Messages: 280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  “Our lives begin to end the day we become silent about things that matter”
   
Loading...