MAWAZO NA MTAZAMO HURU

mkubhi

JF-Expert Member
Sep 9, 2015
2,203
2,000
Kwa kawaida imekuwa ikifahamika upatikanaji wa viongozi wa wakuu wa mikuu, wakuu wa wilaya na wakurugenzi wamekuwa wakipatikana kwa kuzingatia vigezo maalumu kama:

1.Kustaafu jeshini
2.kuwahi kuwa na nyazifa mhimu serikalini
3. Kuwa na elimu ya kujitosheleza kwa nafasi hiyo.. Kwa mfano nafasi za ukurugenzi. N. K.

Jambo linalo shangaza hivi vigezo vimetupiliwa mbali na kuanza kutumia vigezo kama
1. Ukada, yaani uccm.. Mfano Oresendeka
2. Uungwaji mkono.. Kwa mfano kipindi cha uchaguzi..... Mlema na polepole
3. Kupeana kama zawadi baada ya kusaidia ufanikishaji wa jambo fulani..

Naomba ikumbukwe hili taifa la Tz sio la JPM wala ccm, hili Taifa ni la watz wote kwa sababu JPM na ccm vitapita ila Tz ipo milele na milele...

Nawaombeni wanajamvi tujiulize kwa stahili hii ya uongozi taifa tunalipeleka wapi na matokeo yake ni nini!?!?


[HASHTAG]#Mungu[/HASHTAG] ibariki Afrika , Mungu ibariki Tz! #
 

The Monk

Platinum Member
Oct 12, 2012
15,046
2,000
Katiba Mpya itatoa majibu ya haya maswali yote mkuu, tatizo tulishaambiwa haiukuwa kwenye ahadi za kampeni....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom