MAWAZO: kwanini visingeanzishwa vyuo vya ujasiriamali kwa kina MAMA KAYUMBA..?

agala

Member
Sep 13, 2011
57
12
Inafahamika wakina mama ndio wadau wakubwa katika KUKUA KWA UCHUMI kutokana na idadi yao tanzania

hivyobasi ndo wakopaji wakubwa katika financial institutions hivi kwanini wasingepatiwa elimu najua tatizo ni lugha

inayotumika lakini iyo elimu ingetolewa kiswahili katika hivyo vyuo ili hao wakina mama waielewe tanzania ingeendelea siyo mpaka
wakasome kwenye hivi vyuo vya kimagharibi kwa mfano kuna mfano wa kuigwa kwa wkina mama walianzisha online marketing yao baada ya
ya kuomba mkopo somewhere lakini hawa ni wasomi je wasiosoma inakuaje?
 

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
69,280
136,455
Mawazo mazuri kama yako hayana nafasi CCM, utaambiwa ilani yetu ya uchaguzi haisemi hivyo.
Binafsi sioni mantiki ya raisi kuwakopesha watu mabilioni ya mapesa, watu wasio na ujuzi wa biashara.
Ilitakiwa wapewe elimu kwanza, ndipo pesa zifuate.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom