Mawazo kuhusu biashara ya nguo za watoto

lady Jay

JF-Expert Member
May 29, 2016
526
646
Habari zenu wapendwa,

Katika harakati za kupambana na maisha, nimepata wazo la kufanya biashara ya nguo za watoto za mtumba.

Nilikua naomba kwa wenye uzoefu wa hii biashara wanisaidie kuhusu gharama za mtaji unatakiwa bei gani kwa makadirio, Pia kuhusu sehemu ya kupata mzigo,na pia kuhusu uendeshaji wake ukoje.

Na pia ikienda vizuri ningependa kuweka na viatu vya watoto na toys za watoto.

Asanteni.
 
Ulikuwa juu juu tu hapo unaelezea connection za biashara za kariakoo
 
Habari zenu wapendwa,

Katika harakati za kupambana na maisha, nimepata wazo la kufanya biashara ya nguo za watoto za mtumba.

Nilikua naomba kwa wenye uzoefu wa hii biashara wanisaidie kuhusu gharama za mtaji unatakiwa bei gani kwa makadirio, Pia kuhusu sehemu ya kupata mzigo,na pia kuhusu uendeshaji wake ukoje.

Na pia ikienda vizuri ningependa kuweka na viatu vya watoto na toys za watoto.

Asanteni.
Ndugu habari.. !!
Natafuta mtu anayefanya biashara ya uuzaji wa nguo za kiume mtumba mikoani...
Nina bidhaa za nguo za 👖 jeans suruali, t-shirt ,na pia trak juu na chini.. (GRADE A) bei nafuu tu nipo maeneo ya Tabata segerea
Mawasiliano 0744644627
0622531099
Hata pia kwa ulieko Dar Es salaam ni vizuri zaidi, jipatie bidhaa kwa bei poa ya jumla..
Nataka nibadilishe biashara, so mzigo upo store bei poa kabisa usiwe na shaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom