kofia ya plastiki
JF-Expert Member
- Jun 9, 2019
- 416
- 404
Wakuu katika kipindi hiki cha msukosuko wa uchumi, hali ya kipato kuwa ngumu, bei za vyakula kupanda, kuna ongezeko la watu ama mtu binafsi kukumbwa na stress na panic attacks za mara kwa mara.
Tafadhali yafuatayo ni mambo ya msingi uyafanye ili kujiepusha na majanga zaidi ikiwemo kifo.
1. Kuwa bize mara kwa mara kama kufanya shughuli fulani ili akili isahau situation.
2. Jitamkie kuwa wewe ni mshindi kuliko ilo tatizo lako sema hili nalo litapita
3. Fanya jambo linalokufurahisha kila wakati
4. Chat na unayempenda mara kwa mara
5. Kila lipokujia wazo baya libadili kuwa positive sema waza kila wakati kuwa utashinda na zaidi ya kushinda haijalishi unapitia shida gani.
Mungu akupe hitaji la moyo wako