Mawazo, hofu (panic attacks) zikikufika fanya yafuatayo usikaribishe kifo

Wakuu katika kipindi hiki cha msukosuko wa uchumi, hali ya kipato kuwa ngumu, bei za vyakula kupanda, kuna ongezeko la watu ama mtu binafsi kukumbwa na stress na panic attacks za mara kwa mara.

Tafadhali yafuatayo ni mambo ya msingi uyafanye ili kujiepusha na majanga zaidi ikiwemo kifo.

1. Kuwa bize mara kwa mara kama kufanya shughuli fulani ili akili isahau situation.

2. Jitamkie kuwa wewe ni mshindi kuliko ilo tatizo lako sema hili nalo litapita

3. Fanya jambo linalokufurahisha kila wakati

4. Chat na unayempenda mara kwa mara

5. Kila lipokujia wazo baya libadili kuwa positive sema waza kila wakati kuwa utashinda na zaidi ya kushinda haijalishi unapitia shida gani.

Mungu akupe hitaji la moyo wako
Thank you, somo la muhimu sana hili.
Kwa kuongezea pia unaweza kusoma kitabu cha maandiko matakatifu kutokana na imani yako. Utapata faraja
 
Mkuu kuna kitabu kinaitwa "the power of your subcocius mind" hiki kitabu ukikisoma hutakaa ushindwe na jambo lolote au changa moto yeyote katika maisha.

Changamoto zinatushinda na kutuangamiza wakati sisi tuliubwa tuwe watatuzi wa changamoto.

Mungu alipotuumba aliweka majawabu yote ndani yetu. Ila mfumo uo uanzakufanya kazi tu pale tunapobadilisha mitazao yetu katika kila jambo.

Embu tafakari wagunduzi nateknolojia kubwa tunayoitumia hivi sasa iligunduliwa na watu kama Mimi nawewe. Ila tufauti iliyopokati yetu.ni.mtazamo chanya walionao
Wao katika changa moto hawaesabu kama tatizo Bali uona ni fursa.
Kuna kipindi unakuta giza totoro mambo hayaendi pesa hamna na unadaiwa labda ulikopa mahali hapo ndipo penye utata mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: a45
Mkuu kuna kitabu kinaitwa "the power of your subcocius mind" hiki kitabu ukikisoma hutakaa ushindwe na jambo lolote au changa moto yeyote katika maisha.

Changamoto zinatushinda na kutuangamiza wakati sisi tuliubwa tuwe watatuzi wa changamoto.

Mungu alipotuumba aliweka majawabu yote ndani yetu. Ila mfumo uo uanzakufanya kazi tu pale tunapobadilisha mitazao yetu katika kila jambo.

Embu tafakari wagunduzi nateknolojia kubwa tunayoitumia hivi sasa iligunduliwa na watu kama Mimi nawewe. Ila tufauti iliyopokati yetu.ni.mtazamo chanya walionao
Wao katika changa moto hawaesabu kama tatizo Bali uona ni fursa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nitumie softcopy yake kama unayo nakuomba sana
 
Wakuu katika kipindi hiki cha msukosuko wa uchumi, hali ya kipato kuwa ngumu, bei za vyakula kupanda, kuna ongezeko la watu ama mtu binafsi kukumbwa na stress na panic attacks za mara kwa mara.

Tafadhali yafuatayo ni mambo ya msingi uyafanye ili kujiepusha na majanga zaidi ikiwemo kifo.

1. Kuwa bize mara kwa mara kama kufanya shughuli fulani ili akili isahau situation.

2. Jitamkie kuwa wewe ni mshindi kuliko ilo tatizo lako sema hili nalo litapita

3. Fanya jambo linalokufurahisha kila wakati

4. Chat na unayempenda mara kwa mara

5. Kila lipokujia wazo baya libadili kuwa positive sema waza kila wakati kuwa utashinda na zaidi ya kushinda haijalishi unapitia shida gani.

Mungu akupe hitaji la moyo wako
Asante mkuu, ila hapo kwenye namba 4 ndo Mwanzo wa matatizo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom