Special thread: Vikaragosi vya Masoud Kipanya

Kwa hizi drama za wateule, KP siku hizi hakosi cha kusema. Infact ni kama keshajikusanyia material kama ya mwaka mmoja hivi.
 
dcd18d5ee045fc472ea79388e6fe6878.jpg
Yaani ktkt ya mji uruhusu kona kali na mlima mkali kwanini?
Bomoa Jengo muda mfupi tutasahau
 
Bajeti ya kujenga mnachotetea humu ni kubwa kuliko hilo jengo kubomolewa na kujengwa sehemu nyingine.
Suala sio ikate kona tu kulipisha jengo, kuna factors nyingi!!
Kukwepesha njia itakuwa gharama kuliko gharama ya jengo la tanesco?
 
bwana yule anapenda umasikini acha wabomoe afu walipa kodi tutajenga..jk aliaagiza ipite pembeni ila huyu bwana kwa sifa laini kaamua hivyo
 
Back
Top Bottom