Mawazo: Dar au Mwanza

Xoxa wear

Member
Aug 22, 2019
29
33
Yote ni ma jiji ila jiji lipi lina unafuu wa maisha kwa mjasiriamali mdogo anayetaka kuwekeza
Hasa kwenye gharama.

Pia kuna changamoto zipi katika kuwekeza kwenye biashara ndogo ndogo kama mgahawa
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom