Mawaziri wetu wanakumbuka kuhudhuria mikutano kama hii ya kimataifa!!

View attachment 782031
Mawaziri wa Afya kutoka nchi za Jumuiya ya Madola walipokutana Geneza Uswis kwenye mkutano mkuu wa mwaka kujadili mambo mbalimbali yakiwemo magonjwa yasiyo ya kuambukiza,hali ya huduma za afya katika nchi,manunuzi ya jumla vifaa tiba na dawa bora,unyanyasi wa kijinsia na hatua zilizochukuliwa kuhusu kansa ya shingo ya kizazi.

Mwaziri kutoka Tanzania wanakumbuka hii mikutano au sisi tunakwenda kivyetu vyetu...!!!
Wamewakereshwa na Barozi mkuu
 
Hizo Warsha na Semina zinafaida yake nyingi sana kuliko gharama zinazotumika kumsafirisha mshiriki.
 
View attachment 782031
Mawaziri wa Afya kutoka nchi za Jumuiya ya Madola walipokutana Geneza Uswis kwenye mkutano mkuu wa mwaka kujadili mambo mbalimbali yakiwemo magonjwa yasiyo ya kuambukiza,hali ya huduma za afya katika nchi,manunuzi ya jumla vifaa tiba na dawa bora,unyanyasi wa kijinsia na hatua zilizochukuliwa kuhusu kansa ya shingo ya kizazi.

Mwaziri kutoka Tanzania wanakumbuka hii mikutano au sisi tunakwenda kivyetu vyetu...!!!
Mbona Ummy Mwalim haonekani?
 
ni matumizi mabaya ya pesa za wanyonge. we are in ze right track . tembeeni vifua mbere. hata hivyo budget kwenye kilimo kwa bajeti inayoisha ni 22% na kuna viwanda zaidi ya 3000 vimejengwa .ila bado twatumia vitu toka china hata tooth picks.
MAGUFULI SEREMA! RISERIKARI RANGU RITAKUWA RA VIWANDA
 
dunia ina vituko sana.....tutafika tu
 
Back
Top Bottom