singidadodoma
JF-Expert Member
- Nov 11, 2013
- 4,394
- 1,536
Kwani lazima waende nchi za nje
Makongoro Mahanga aliposema Serikali ni Makatibu wakuu mbona alishupaliwa kama kaiba kengele ya kijiji? Maana kama Waziri Mkuu hakwenda na waziri wa ulinzi badala yake akaenda na Katibu wa Wizara ya Ulinzi, basi hoja ya Mahanga kwamba serikali hata kama ina wizara chache lakini ina Makatibu wakuu wengi bado mzingo wa kuindesha unakuwa mkubwa, ina mashiko!
Ni kweli.mkuu.. ila.maneno ya Mahanga na Membe ni maneno ya mfa maji..Tuangalie gharama ya Katibu Mkuu na Waziri. Mishahara yao, posho zao, matumizi ya magari ya serikali (mafuta, service, matengenezo), watumishi wasaidizi ofisini na nyumbani nk
Tofauti yao ni nini hasa. Kwa mfano tunao makatibu Tarafa kwenye kila tarafa ambao hawana kazi ya kufanya kwa kuwa hawana kikao chochote kile wanachokisimamia au kushiriki kisheria na kihadhi wako chini ya Wakuu wa wilaya. Lakini mpishano wa kimaslahi yao na Wakuu wa wilaya ni mdogo mno na ni kama haupo. Katibu Mkuu ana marupurupu Makubwa kuliko Waziri ingawa yeye fursa (Privilege) zake siyo kubwa kulko waziri.Tuangalie gharama ya Katibu Mkuu na Waziri. Mishahara yao, posho zao, matumizi ya magari ya serikali (mafuta, service, matengenezo), watumishi wasaidizi ofisini na nyumbani nk
Hii ni debate ndefu sana lakini ukwel uko pale paleNi kweli.mkuu.. ila.maneno ya Mahanga na Membe ni maneno ya mfa maji..
Tofauti yao ni nini hasa. Kwa mfano tunao makatibu Tarafa kwenye kila tarafa ambao hawana kazi ya kufanya kwa kuwa hawana kikao chochote kile wanachokisimamia au kushiriki kisheria na kihadhi wako chini ya Wakuu wa wilaya. Lakini mpishano wa kimaslahi yao na Wakuu wa wilaya ni mdogo mno na ni kama haupo. Katibu Mkuu ana marupurupu Makubwa kuliko Waziri ingawa yeye fursa (Privilege) zake siyo kubwa kulko waziri.
Marupurupu kama yapi?Tofauti yao ni nini hasa. Kwa mfano tunao makatibu Tarafa kwenye kila tarafa ambao hawana kazi ya kufanya kwa kuwa hawana kikao chochote kile wanachokisimamia au kushiriki kisheria na kihadhi wako chini ya Wakuu wa wilaya. Lakini mpishano wa kimaslahi yao na Wakuu wa wilaya ni mdogo mno na ni kama haupo. Katibu Mkuu ana marupurupu Makubwa kuliko Waziri ingawa yeye fursa (Privilege) zake siyo kubwa kulko waziri.
makatibu wakuu ndio wapigajiNi kweli.mkuu.. ila.maneno ya Mahanga na Membe ni maneno ya mfa maji..
Kweli umeishiwa na cha kuandika hadi udaku unatuletea jf?
Inashangaza sanaaaaa nchi hii kila mmoja najua! huyu nae amekuja na ya kwake mwacheni afanye yake yakimshinda watakuja wengine watengeneze na kuharibu au kurekebishamakatibu wakuu ndio wapigaji
Safisana mkuuTuangalie gharama ya Katibu Mkuu na Waziri. Mishahara yao, posho zao, matumizi ya magari ya serikali (mafuta, service, matengenezo), watumishi wasaidizi ofisini na nyumbani nk