Mawaziri waramba viatu vya Mugabe!

Askari Kanzu

JF-Expert Member
Jan 7, 2011
4,598
1,233
Eti oh,
*Mugabe ni sawa na Mtume Musa
*ndie Malaika Jibril
*ni sawa na maziwa ya Gushungo
*ana digrii nyingi kuliko rais yeyote hapa duniani


Ministers queue to bootlick Mugabe

1238319308875_364.jpg
PATIENCE NYANGOVE/ TARISAI TAHUNGAI- Oct 14 2011 08:19

Zanu PF ministers yesterday fell over each other in an open scramble to bootlick President Robert Mugabe, showering him with all sorts of praise names such as "Biblical Moses" and "Angel Gabriel".


Speaking during the official launch of the Mhondoro-Ngezi-Zvimba Community Share Ownership Trust at Zimplats, Mashonaland West Governor and Resident Minister Faber Chidarikire was the first to hero-worship President Mugabe.

"You are our Biblical Moses," Chidarikire said. "The people of Zimbabwe will forever cherish having you as their leader who led them out of the wilderness."

Not to be outdone, Saviour Kasukuwere, the Minister of Youth Development, Indigenisation and Empowerment, went a notch higher, likening President Mugabe to God's "Angel Gabriel".

"I always prefer to refer to President Mugabe as our Angel Gabriel from the Bible, sent by God to the people of Zimbabwe," he said.

Earlier this year, other Zanu PF bigwigs, including Media, Information and Publicity minister Webster Shamu and party chairman Simon Khaya Moyo, went into bootlicking overdrive. Shamu said President Mugabe was feared the world over because of his intelligence and was like Cremora (a popular milk brand).

"Gushungo, people say you have Cremora, the whole body. The war the world over, President is about you. They fear you and that is why they are doing all this," Shamu said.

"There is no president the world over who has degrees like President Mugabe. He is brainy and that's why he is feared. You fought the liberation struggle for a long time and you should also rule for as long as you want," he crooned.

Khaya Moyo weighed in with his nicely-choreographed oration, describing the 87-year-old leader as a liberator of unparalleled proportions "who God should keep for a long time to rule Zimbabwe".

"His Excellency you are a liberator of unparallel audacity. You are a useful and amazing leader and we pray to God to make you stronger and continue to lead us from the front," he said.

Full story

Kwa mtaji huu Africa hatufiki mbali!
 
Kulizuka habari kuwa Mh.Mugabe angestaafu lakini sijui ikawaje tena?
Hiyo ilikuwa mwaka juzi na bado Mugabe anatarajia kutetea urais wake kwenye uchaguzi ujao. Muziki wanaomwimbia wapambe wake ni utamu kwa kwenda mbele:

"Khaya Moyo weighed in with his nicely-choreographed oration, describing the 87-year-old leader as a liberator of unparalleled proportions "who God should keep for a long time to rule Zimbabwe".

Mugabe ni kisiki ng'ang'anizi!
 
Du Natamani ningekuwa Mugabe wa TZ....imagine Magufuli, Sita, Mwakyembe, Prof Majembe, Prof Mwandosya, nahondha etc wanachojoa ndimi zao kisha wanakulamba viatu...it is a joke...but isn't nice kwa mtu mwenye kiburi cha uzima???!!! damn.
 
Ukiona kongozi ameanza kujitukuza kama mfalme Nebukadreza kwa kujipa majina matukufu huyo hachukui muda mrefu madarakani. Mwisho wake huyu mzee utakuwa mbaya kuliko hata mwanzo wake. Tusubiri tu kwani aliyejipa cheo cha mfalme wa Africa yuko wapi leo - Ghadafi si anakula nyasi tu saa hizi?! Saddam kilimkuta nini? Mtu mzima tena rais kuishia ndani ya pango la nyoka, ni fedheha kubwa! Period kwa MUGABE!
 
...i think regardless of everything Mugabe is an icon ..only that most people wana nidhamu ya uoga na hawa viongoz ndo wana ionyesha live!!
 
Back
Top Bottom