Mawaziri wapya wa jk na uchapaji kazi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mawaziri wapya wa jk na uchapaji kazi

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by SYENDEKE, May 9, 2012.

 1. SYENDEKE

  SYENDEKE Senior Member

  #1
  May 9, 2012
  Joined: Jul 18, 2011
  Messages: 168
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  wanajavi ni siku ya tatu toka mawaziri wapya waanze kazi rasmi kiukweli wameanza kwa mbwembwe kwelikweli sasa sijui ndo hali na mukali ya utendaji kazi au wanataka kumwonyesha mkuu wa kaya (JK) kuwa uteuzi wake ulikuwa sahili au ndo nguvu ya soda na je wanafanya hivyo ili kuwakomoa wale walio pigwa chini au ndo makundi ya magamba
  mfano huyu N waziri wa maji dr mahenge ametoa hotuba nzito kwenye mkutano wa maji na bonge la data as if alikuwepo pale miaka mingi kumbe anasiku tatu (3) anyway nawaombe mfanye kazi vizuri lakini sheria ni msumeno
   
Loading...