Mawaziri wapya tutajieni mali zenu!!na mkiondoka mtutajie mlizochuma

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,720
21,779
Tume ya maadili aaaahhhhhh sijui niite ya maandazi hizi tume bana nkapa sijui alifikirije na hivi vitume vya ulaji uchafu mtupu..embu nyie mawaziri wapya leo tuntitaji mtutajie basi mnamali gan maana naona hata waliokuwa manzese gafla wanatembelea benzi sasa sijui za wenzenu ama lah embu tuabalishen msisubiri kutiana haya uwanjani.....kwenye hizo formu waweke mna wake wangapi na mkiondoka mtujulishe mnaondoka na wake wangapi??
Na nyie ndugu zeetu wakristo wawekewe ....hawara wangapi...na mkiondoka mtujuze mmepata wangapi maana mnabadilika sana .........

Kazi kwako kikwete
 
hahaa hii ni tume ya maandazi kwa kweli..sijui hata ipo pale kwa kazi ipi...yaani ukiwa waziri tanzania ni kuiba mipesa ,kuwa na vimada kedekede kuwa na misimu ya iphone miwili na black berry 3 ,na kuvaa misuti mieusi na kunywa redbul ukichanganya na koka baridi..yaani hayo ndo muhimu kwao...

we imagine nimeenda kwa waziri flani last week kikazi ,yaani tunaongea naye napokea simu anaulizia kama gari limepakiza magunia yake ya dagaa toka kigoma kuja dar!!!! hiyo ndo tanzania...
 
Waacheni wenzenu wale raha. Nyie wenyewe mkipata hizo nafasi mtakuwa na mambo ya ovyo zaidi yao. Ukimnyooshea mwenzio kidole kimoja vinne vinakuangalia.
 
hahaa hii ni tume ya maandazi kwa kweli..sijui hata ipo pale kwa kazi ipi...yaani ukiwa waziri tanzania ni kuiba mipesa ,kuwa na vimada kedekede kuwa na misimu ya iphone miwili na black berry 3 ,na kuvaa misuti mieusi na kunywa redbul ukichanganya na koka baridi..yaani hayo ndo muhimu kwao...

we imagine nimeenda kwa waziri flani last week kikazi ,yaani tunaongea naye napokea simu anaulizia kama gari limepakiza magunia yake ya dagaa toka kigoma kuja dar!!!! hiyo ndo tanzania...

we ukusoma biblia waacheni watoto wdogo waje kwangu maana ufalme wa mbinguni ni wao ulifikiri watoto kamawatoto ...loh hao ndio watoto wanaoambiwa swala la muhimu na wewe mwombe MUNGU akufanye mtoto kama wao uingie kwenye system ule mema ya nchi
 
Mkuu husninyo
kuna neno kwenye kitabu kitakatifu cha biblia linasema kuna watu walimpelekea yesu wakamwambia huyu mama ni kahaba anatutesa sana na waume zetu wakiwa na mawe akawasikiliza wote akawaambia iwapo kuna mtu anajijua hana kosa lolote basi anyanyue jiwe amrushie huyu mama alikuwa amekaa kulia alipogeua kushoto alikuta mawe chini akabaki na yule mwanmke akamuuliza una mume wangap akasema hata nilie nae si wangu...so kama kuna anaejijua aiibi na akiingia system aiibi anyanyue jiwe anitupie
 
Hons wafuatao :-
Chenge
Pinda
Magufuri
Sita
Mwakyembe
Makinda na wengneo.
Tume inatakiwa kuhoji mali zao na wamepataje..
 
Back
Top Bottom