Tetesi: Mawaziri wanne wa Awamu ya Nne kuanzisha Chama cha Siasa

sem2708

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
5,318
4,399
gazeti la Mawio la 27 April limeripoti mpango wa mawaziri wanne wa serikali iliyopita ya JK kuanzisha chama kipya
IMG_5106.JPG
IMG_5107.JPG
 
Wafanye haraka ili branch yao kule visiwani iwe chini ya Maalim Seif, ila ingependeza kama wange merge vyama vyote vyenye ushawishi mkubwa na wajipange sawasawa kwa ushindani wa kweli ili unabii wa Mwalimu ukamilike.
 
ni Keli Mkuu vyama vote vya upinzani viungane na kumsimamisha mgombea mmoja mwenye nguvu na ushawishi mkubwa kwa watanzania kwani hawa viongozi wa upinzani waliopo sasa hawana uwezo wa kushinana na CCM tunamhitaji mgombea mwenye nguvu na hasa akiwa anatoka katika Serikali na CCM hakika atashinda kwani sasa tunahitaji mabadiliko!!!!
 
Kesho MAWIO wataitwa MAELEZO kwenda kujieleza kwanini wasifungiwe kwa uchochezi kutokana na habari yao hii.
Subirini muone
 
Back
Top Bottom