Mawaziri wanne kujiuzuru

lebara

JF-Expert Member
Jul 9, 2013
646
835
Kamati ya wabunge wa CCM imeazimia kuwa waziri wa ulinzi, mambo ya ndani, mali asili na mifugo wajiuzuru mara moja ili kumuokoa PM PINDA
 
Haijawahi kutokea kwenye hi serikali ya kifamilia, kwa hiki chama cha magamba ni ngumu kumeza haitakaa itokee
 
Ni kweli baada ya mapumziko ya chakula cha mchana,wabunge wa CCM walianza kulaumiana sana na kumlaumu kwa chinichini Mh.Lembeli na Kangi Lugola kuwa ”wanamshupalia“ sana waziri mkuu.
Lawama zinaenda kwa Mwenyekiti wa kamati ya Maliasili na Utalii ndugu LEMBELI kwamba ni kwa nini ameileta report hiyo bungeni badala ya kwenye Chama??kama angeileta ktk chama maanake aibu hii ingemalizwa bila kuipaka matope serikali ya CCM.
Wabunge wa CCM wameadhimia kumlinda Pinda kwa ghalama yoyote asijiudhulu,na badala yake ktk michango yao ya jioni watachangia zaidi kwa mawaziri wanne kujiudhuru na si Waziri Mkuu,mpaka mchana huu tayari kumetokea mpasuko mkubwa,wapo ndani ya CCM wanaoona kujidhuru kwa Waziri Mkuu itakuwa ni sifa mbovu kwa serikali na chama chao..nguvu nyingi ni kumlinda Pinda na kuwatoa kafara wengine.
Wabunge wa CCM mpaka sasa wanarudi mjengoni kupunguza makali ya Lugola na Report ya Lembeli...
 
Hao ndiyo aliwaona wena uwezo, sasa kama atawatoa sijui atamweka nani maana waliobaki ni kama masalia vile.......labda atawapa akina Zoto na Mbatia this time!!??
 
:mad: Mimi naona kwa mawazo yangu hawa mawaziri watatu waondoke ili kumlinda PM na pia busara za huyu mzee bado tunazihitaji sana mana ukimtoa sijui kama utampata wapi waziri mkuu ambaye hataki kujilimbikizia mali Tanzania hii.Bora amalize mda wake.
 
tunacheza kiduku tu... haohao wabunge ifike saa kumi na mbili utawakuta wanakula pombe na ******* maeneo ya dodoma wanacheeeka na jinsi wanavyotudhihaki, kesho utawakuta miuji wanabutua nyama za kupima

SHTUKA!!
Kweli mkuu, tena kwa posho ya kuwaibia wananchi!!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom