Kamati ya wabunge wa CCM imeazimia kuwa waziri wa ulinzi, mambo ya ndani, mali asili na mifugo wajiuzuru mara moja ili kumuokoa PM PINDA

Na wale Mizigo wengine je?
Madaraka matamu hawawezi kuachia hao...bila JK kuwafungulia mlango
Hapo kwenye bold SAHAU
Kamati ya wabunge wa CCM imeazimia kuwa waziri wa ulinzi, mambo ya ndani, mali asili na mifugo wajiuzuru mara moja ili kumuokoa PM PINDA
Kweli mkuu, tena kwa posho ya kuwaibia wananchi!!!tunacheza kiduku tu... haohao wabunge ifike saa kumi na mbili utawakuta wanakula pombe na ******* maeneo ya dodoma wanacheeeka na jinsi wanavyotudhihaki, kesho utawakuta miuji wanabutua nyama za kupima
SHTUKA!!