Mawaziri wanaolala ovyo hadharani waibua mjadala Uganda!

COARTEM

JF-Expert Member
Nov 26, 2013
3,598
3,644
attachment.php


Kampala, Uganda - At the most recent state-of-the-nation address, Uganda's second deputy prime minister wore sunglasses too dark to enable anyone to see whether his eyes were open or closed.

Moses Ali, 74, is one of the cabinet ministers who seem to have improvised a way to escape the scrutiny of nosy media cameras that have on several occasions caught senior government officials and MPs dozing when the president is delivering his address and when the national budget is read.

It all started four years ago when a local tabloid splashed the pictures of sleeping ministers and MPs on its front page as President Yoweri Museveni delivered his address to the country.

The paper's headline on the day was "Sleeping Nation".

The public has since come to covet these events as much as the politicians seem to dread them. TV cameras are always out for who is napping, and photographs of ministers and MPs sleeping though these important speeches - delivered annually in June - end up on social media, with many lampooning the politicians.

"When I served in Museveni's government things were exciting and one would have no reason to sleep," said Professor Edward Kakonge, who served as the first minister of local government when Museveni became president in 1986.

"What is happening now is a clear pointer that there is nothing exciting in there any more."

ZAIDI BOFYA HAPA: Ugandans baffled by sleeping ministers - Africa - Al Jazeera English
 

Attachments

  • uganda.jpg
    uganda.jpg
    38.4 KB · Views: 2,185
Wasira anatakiwa awe wa kwanza kwenye list upande wa Tanzania. Kazi kwetu kuja na heading inayovutia.
 
Wasira anatakiwa awe wa kwanza kwenye list upande wa Tanzania. Kazi kwetu kuja na heading inayovutia.
akifuatiwa na yule jamaa wa kwenda msituni kwenda kunya na baadaye kwenda kurubuni vitoto vya shule na kwenda kupiga navyo picha gest. naishia hapo, mengine malizieni......
 
Museveni anaweza kuwa anaboa ila sidhani km hiyo ndio issue.Hawa jamaa huwa hata kuangalia au kusikiliza contents hawafanyi huwa wanategemea kusoma karatasi baadae au kuambiwa.Wengi ni tabia km wao hawaongei au kupiga soga wanachapausingizi.Wengine wanakuwa wameshiba sana na hawana muda wa kufikiri wale nini kabla ya session km hizo.Wengine huwa wakitoka hapo huwa hawalali wanakwenda ktk anasa na issue za kipuuzi.Kwa ujumla ni taabu.Nimesoma hizi patterns ktk mikutano ya kiafricana hata makazini.Madakatari nao ni hivyo ndio maana hakuna improvements ktk mahospitali yetu,watu wanakuafa ktk magonjwa ya kawaida.Daktari anabadili hospital kibao kwa siku, mwingine anamalizia siku ktk baa,au anasa nyingine ,kesho yake anakwenda ktk msururu mrefu wa wagonjwa na ratiba tight.Huyu hawezo kuwa na muda wa kusoma cases mpya.Ingawa ana sifa za kutibu magonjwa yaliyozoeleka na kupiga zima moto kwa dose za jumla kwa magonjwa mapya.Siasa za nje ya uwanja humpa umaarufu sana kuliko uhasilia.Wengine siku hizi hata records za mgonjwa hwaandiki kwa vile hawajui umuhimu wa kumbukumbu,km wao hawazisomi za wengine.
 
hili nalo limekuwa ni janga la wanasiasa wa EA.si tu uganda au tz peke yake,hata kule kwa kina lawmaina78 dozers ministers/MPs wapo.nadhani tatizo ni hivi vyakura vyetu vya kibantu ndio tatizo.mimi mwenyewe leo mchana nimekula ugali wa dona na samaki sangara pale break point-nyuma ya club bilicanas,cha ajabu nimepata usingizi na uchovu .ni tofauti na nilivyo kuwa kabla sijala.
 
Last edited by a moderator:
hili nalo limekuwa ni janga la wanasiasa wa EA.si tu uganda au tz peke yake,hata kule kwa kina lawmaina78 dozers ministers/MPs wapo.nadhani tatizo ni hivi vyakura vyetu vya kibantu ndio tatizo.mimi mwenyewe leo mchana nimekula ugali wa dona na samaki sangara pale break point-nyuma ya club bilicanas,cha ajabu nimepata usingizi na uchovu .ni tofauti na nilivyo kuwa kabla sijala.

Hili tatizo mbona lipo kote hata down-south, afu wasalimie sana wahudumu wa hapo Break-point, waambie zimetoka kwa yule Mkenya alikua anapenda sana dona na ku-dance kwa mbwembwe sana usiku.

8880251_f520.jpg
 
Hii ni hatari...mtu analala afu akistuka anasema ndioooo...kutuingiza chaka wapiga kura wake..
 
Hili tatizo mbona lipo kote hata down-south, afu wasalimie sana wahudumu wa hapo Break-point, waambie zimetoka kwa yule Mkenya alikua anapenda sana dona na ku-dance kwa mbwembwe sana usiku.

8880251_f520.jpg

mkuu salamu zimefika.i
la picha yako imenivunja mbavu.i never knew if dozing sickness is this serious to africa politicians till i saw your picture.
 
Hivi wapo wembamba wanaosinzia sinzia hovyo? Au ni wanene tu......nahisi umri na kushiba bila zoezi pia ni tatizo
Ila nimecheka sana.....
 
Back
Top Bottom