Elections 2010 Mawaziri waliodondoka uchaguzi mkuu 2010

Kasheshe

JF-Expert Member
Jun 29, 2007
4,694
787
Jamani weka list ya Mawaziri waliodondoka hapa!!! only list no posting long sentences.
 
Philpo Sanka Marmo puuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu, wakazi wa mbulu wamempiga chini.
 
Kazee kangu Marmooooooooooo
Pumzika mzee shughuli pevu hii waachie vijana
 
Jamani weka list ya Mawaziri waliodondoka hapa!!! only list no posting long sentences.

Nani akutafutie, tafuta mwenyewe habari, uliweka mtu hapa kukutafutia? au unaona tabu kutafuta mafisadi waliodondoshwa, fuatilia TBC1!
Usijali nakutania tu Fisadi Kasheshe, mtani wangu!!:israel::israel::israel:
 
Mpaka sasa Sumari anaongoza.ana kura 38,000,wakati chadema kura 12,000 bado kata 3 tu matokeo yatangazwe rasmi.So Sumari anashinda!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom