Mawaziri walio mzigo kwa CCM na serikali yake

Nikukumbushe

JF-Expert Member
Jun 4, 2013
2,602
408
Mawaziri dhaifu ambao hata hawastahili hata kupewa uenyekiti wa kijiji
1. S.kawambwa
2. J.magembe
3. S.muhongo
4. G.mkuchika
5.mathayo D.Mathayo
6. M. Pinda
7. H. Ghasia
8. W.lukuvi
9......taja wengine hata kama ni naibu waziri
 
Yaani unataja list mpaka inaisha bila kumtaja amim mzee wa 11964 na muungano wa zimbambwe pemba na tanganyika?
 
waziri mwenyew hajui vitu vidogo kama hv,atashauri nini zaid ya kucommand wizara kufanya haya ya muungano wa zimbabwe na pemba in 11964-ndio maana watoto wamefeli inawezekana walijibu haya.Kilaza mkubwa
 
umesahau wale waliotajwa na wenje wa baraza la cdm ya rais slaa.sugu waziri wa afya.hahahahahahahahahahahahahahah
 
Mawaziri dhaifu ambao hata hawastahili hata kupewa uenyekiti wa kijiji
1. S.kawambwa
2. J.magembe
3. S.muhongo
4. G.mkuchika
5.mathayo D.Mathayo
6. M. Pinda
7. H. Ghasia
8. W.lukuvi
9......taja wengine hata kama ni naibu waziri

Unajiita ukombozi wa fikra, unahukumu watu bila kueleza sababu ..... unanyima jukwaa hadhi ya kuheshimika
 
mabaya mangapi yamefanyika na hatuoni uwajibikaji wao,kama sio mzigo wa serikali na chama chake ni nini? Kajipange! Tumewakosoa vya kutosha lakini kwa kuwa ni vichwa maji na mawazo mgando ni nini?
 
waziri mwenyew hajui vitu vidogo kama hv,atashauri nini zaid ya kucommand wizara kufanya haya ya muungano wa zimbabwe na pemba in 11964-ndio maana watoto wamefeli inawezekana walijibu haya.Kilaza mkubwa
juzi ameropoka bungeni badala ya kutaja wizara husika akasema wizara ya mama Sophia Simba spika akamwambia hamna wizara hyo. Huyu Amin ni mbulula
 
Anini amini nawaambia mawaziri bora wa ccm ni wa 4 tu!
 
Last edited by a moderator:
Mawaziri dhaifu ambao hata hawastahili hata kupewa uenyekiti wa kijiji
1. S.kawambwa
2. J.magembe
3. S.muhongo
4. G.mkuchika
5.mathayo D.Mathayo
6. M. Pinda
7. H. Ghasia
8. W.lukuvi
9......taja wengine hata kama ni naibu waziri

Hata kuandika vizuri hujuwi ndio maana hujuwi capitalization umeandika km mtoto wa awali. Nenda computer course itakusaidia na we hata miaka 20 hujafika
 
10 Ole Medeye
 
juzi ameropoka bungeni badala ya kutaja wizara husika akasema wizara ya mama Sophia Simba spika akamwambia hamna wizara hyo. Huyu Amin ni mbulula
haaaa haaaa,mkuu yaan huyu ndiyo kilaza kuliko wote,hivi tukimrudisha form two atafaulu kweli?
 
Hata kuandika vizuri hujuwi ndio maana hujuwi capitalization umeandika km mtoto wa awali. Nenda computer course itakusaidia na we hata miaka 20 hujafika

Siwezi kuwacapitalize kwani hawana hadhi ya kunilazimu mimi kufanya hivyo,
 
Mawaziri dhaifu ambao hata hawastahili hata kupewa uenyekiti wa kijiji
1. S.kawambwa
2. J.magembe
3. S.muhongo
4. G.mkuchika
5.mathayo D.Mathayo
6. M. Pinda
7. H. Ghasia
8. W.lukuvi
9......taja wengine hata kama ni naibu waziri

You are not serious. Unamwacha MULUGO! Kweli?
 
Back
Top Bottom