Mawaziri wa Zanzibar wanalipwa kama mawaziri wa Bara?

mhalisi

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
1,181
320
Wadau je mawaziri wa serikali ya mapinduzi Zanzibar wanalipwa masilahi kama wanayolipwa mawaziri wa Tanzania bara, na je mawaziri wa Zanzibar nao wanatembelea kwenye magari aina ya Toyota Landcruser VX V8 kama wanayotembelea wenzao wa bara? na vipi kuhusu masilahi ya makatibu wakuu wa wizara na wakuu wa mikoa wa Zanzibar?
 
Acha ushamba huo inahusu nini mapato ya mtu? Wanacholipwa wao wewe itakusaidia nini/
 
Awali ya yote kwanza kabla ya kujadili malipo na mishahara ya mawaziri tunanze na viwango vyao vya elimu bara na visiwani vikoje
 
Wadau je mawaziri wa serikali ya mapinduzi Zanzibar wanalipwa masilahi kama wanayolipwa mawaziri wa Tanzania bara, na je mawaziri wa Zanzibar nao wanatembelea kwenye magari aina ya Toyota Landcruser VX V8 kama wanayotembelea wenzao wa bara? na vipi kuhusu masilahi ya makatibu wakuu wa wizara na wakuu wa mikoa wa Zanzibar?

huyu nae sasa anataka kuzusha mengine! tumechoka na mivutano isiyokuwa na tija, usitake kutuvurugia muungano wetu.
 
Awali ya yote kwanza kabla ya kujadili malipo na mishahara ya mawaziri tunanze na viwango vyao vya elimu bara na visiwani vikoje

Zenji ni form three na Tz Bara ni form four elimu ya awali hiyo ! Kumbuka ZNZ wao ni million 1.5 tu lakini na wajanja zaidi ya Wabara million 43 kwani Umeme chakula na Fedha toka Hazina vinatoka Bara lakini hawaridhiki bado wanataka pasu kwa pasu huku Mawaziri na wabuge wakitawala Maeneo madogo sana ukilinganisha na wabunge wa Bara wanatawala Majimbo makubwa sana lakini posho zinalingana wote Zenji ni wajanja wa bara kwani Chao ni chao lakini cha bara ni cha wote
 
watumishi wa serikali ya mapinduzi zanzibar mishahara yao ni midogo kulipo ya watumishi wa serikali ya jamhuri ya muungano wa tanzania
 
Wadau je mawaziri wa serikali ya mapinduzi Zanzibar wanalipwa masilahi kama wanayolipwa mawaziri wa Tanzania bara, na je mawaziri wa Zanzibar nao wanatembelea kwenye magari aina ya Toyota Landcruser VX V8 kama wanayotembelea wenzao wa bara? na vipi kuhusu masilahi ya makatibu wakuu wa wizara na wakuu wa mikoa wa Zanzibar?

Kinachokufanya kutofautisha na kuoanisha ni nini? Zanzibar ipo upande mmoja na upande wa pili hakujulikani kuna nini, sasa huo mfanano unakujaje? Undeni Tanganyika yenu kwanza halafu utaweza kufananisha. Hivi sasa tunaambiwa kuwa hilo serikali ni la wote!
 
Zenji ni form three na Tz Bara ni form four elimu ya awali hiyo ! Kumbuka ZNZ wao ni million 1.5 tu lakini na wajanja zaidi ya Wabara million 43 kwani Umeme chakula na Fedha toka Hazina vinatoka Bara lakini hawaridhiki bado wanataka pasu kwa pasu huku Mawaziri na wabuge wakitawala Maeneo madogo sana ukilinganisha na wabunge wa Bara wanatawala Majimbo makubwa sana lakini posho zinalingana wote Zenji ni wajanja wa bara kwani Chao ni chao lakini cha bara ni cha wote

Data zako si sahihi au labda unakumbuka wakati uleee. Elimu ya awali Bara ni darasa la Saba na Zanzibar elimu ya lazima ni Form II.
 
Back
Top Bottom