Mawaziri wa Mugabe kufanyiwa tohara!

Sajenti

JF-Expert Member
Apr 24, 2008
3,651
412
Baadhi ya mawaziri wa kiume katika serikali ya Raisi Robert Mugabe wa Zimbabwe wanatarajiwa kutahiriwa hivi karibuni. Huo ni mkakati waserikali ya Raisi Mugabe kwa kushirikiana na taasisi moja iliyo kwenye mapambano dhidi ya ukimwi. Kwa kuanza kampeni hiyo itaanzia kwa mawaziri hao ili kuhamasisha wazimbabwe wengine kuitikio wito wa kutahiriwa kwa hiari. Source: Mtanzania news paper.
 
Te! te! te! very funny story! Hawa wazimbabwe walivyosikia CCM wanavua magamba huku Tanzania wakadhania... hayo.....!
 
Back
Top Bottom