Mawaziri wa Jk utafikiri viranja wa enzi za pri na sec. School. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mawaziri wa Jk utafikiri viranja wa enzi za pri na sec. School.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mupirocin, Feb 8, 2011.

 1. Mupirocin

  Mupirocin JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2011
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 1,596
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Nilikuwa naangalia jana waziri Kawambwa alivyokuwa akizongwa na wanafunzi wa Udsm nikakumbuka enzi za viranja wa shule za msingi na sekondari wanapojaribu kuwashawishi wanafunzi kukubali hoja fulani. Cha kuchekesha zaidi waziri anashindwa kujibu hoja wakati walitangaza kwa mbwembwe ujio wao kwenye magazeti afu matokeo yake hana majibu. Haya ndo matokeo ya uongozi wa kishikaji. Nchi haiendi maisha yanazidi kuwa magumu, watu wakigoma Jk anasema wanasiasa wanawashinikiza wagome. Hizi ni hoja za mfa maji. Tunaomba Jk utefanye kazi acha kulalamika.
   
 2. E

  Elisha Member

  #2
  Feb 8, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 26
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Bora hata viranja walikuwa wanawajibika ili waendelee kukubalika kwa walimu, kukwepa kazi na adhabu nyingine na kujijengea heshima miongoni mwa wanafunzi wenzao!

  Mawaziri wetu hawapo hivyo! Yaani wote hamnazo na wabinafsi. Wanachojali ni maslahi yao tu si kingine.
   
Loading...