Mawaziri wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

mzenjiboy

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
907
382
Hivi kwa nini mawaziri wote wa Bara huitwa “Waziri wa Jamhuri ya Muungano” ijapokuwa wizara ya waziri husika huwa si ya muungano ?
 
Hivi kwa nini mawaziri wote wa Bara huitwa “Waziri wa Jamhuri ya Muungano” ijapokuwa wizara ya waziri husika huwa si ya muungano ?
Kwa sababu ni mawaziri wa serikali ya Jamhri ya Muungano.

Wewe ukiwa ni mtoto wa kiume wa Mama yako, bado ni mtoto wa mama yako hata kama si mtoto wa kike wa mama yako.

Hao ni Waziri wa serikali ya jamhuri ya muungano ambao wanaongoza wizara zisizoshughulikia mambo ya muungano.

Hawawezi kuwa mawaziri wa serikali ya mapinduzi ya Zanzibar, na Tanzania hakuna serikali nyingine.
 
Back
Top Bottom