nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 11,734
- 12,024
Something fishy is going on.......Mwanzoni mwa awamu ya V yaani miezi michache ilopita katika vyombo vya habarr a.k.a media mawaziri waliuza sura sana...kila waziri biiize...sasa kulikoni mbona kimya sanaa.Kumbe mlikuwa manafanya maigizo au na nyie mpo kwenye kundi la wasalitiii?
Swali la kizushi
Hivi sukari iko chini ya wizara gani?
Swali la kizushi
Hivi sukari iko chini ya wizara gani?