johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,780
- 141,667
Mawaziri watano Simbachawene, Mchengerwa, Mhagama, Ummy na Mkuchika wamethibitisha kushiriki mkutano wa wadau wa siasa nchini utakaowashirikisha pia Msajiri wa vyama vya siasa jaji Mutungi na IGP Sirro.
Vyama vya siasa vikiongozwa na chama kikuu cha upinzani Chadema vinatarajiwa kushiriki bila kukosa.
Source: ITV habari
Vyama vya siasa vikiongozwa na chama kikuu cha upinzani Chadema vinatarajiwa kushiriki bila kukosa.
Source: ITV habari