Mawaziri na Wabunge wa CCM Jifunzeni kwa Sugu Ujasiri

Chakaza

JF-Expert Member
Mar 10, 2007
39,795
71,214
Niliowataja ni wanafiki mno na unafiki wao umezaa woga. Kwao kumuona Rais huwa wanataka kuanguka kama sio haja ndogo kuwatembelea.

Neno hewala, ndio mzee, nani kama Magu, haijapata kutokea rais kama huyu nk nk.

Lakini Sugu ana onyesha kuwa rais apewe heshima yake inayostahili lakini aonyeshwe kuwa ni MTU wa kawaida na ikibidi apelekwe kiselasela tuu.

Kama kuna MTU anaweza kunitafutia picha ya waziri au mbunge wa CCM aliye simama namna hii na kupiga story na mzee Jiwe aiweke hapa.
tapatalk_1556218541270.jpeg
 
Wabunge wote kabisa wa upinzani ni jasiri sana ingawa sio maprofesa wala maPhD kama wa CCM. Inafurahisha sana kuwaona wanavyowaburiza 'wasomi' wa Lumumba bungeni na ndo sababu bunge halionyeshwi live kuficha aibu. Sugu anabonga na Rais angekuwa wa upande ule tumbo lingekuwa linasumbua na Heche kule Tarime je?
 
Niliowataja ni wanafiki mno na unafiki wao umezaa woga. Kwao kumuona Rais huwa wanataka kuanguka kama sio haja ndogo kuwatembelea.
Neno hewala, ndio mzee, nani kama Magu, haijapata kutokea rais kama huyu nk nk.
Lakini Sugu ana onyesha kuwa rais apewe heshima yake inayostahili lakini aonyeshwe kuwa ni MTU wa kawaida na ikibidi apelekwe kiselasela tuu.
Kama kuna MTU anaweza kunitafutia picha ya waziri au mbunge wa CCM aliye simama namna hii na kupiga story na mzee Jiwe aiweke hapa.View attachment 1081269
http://millardayo.com/mby25/ hii hapa
 
Susasusa ya chadema imeishia wapi? Tuliwaambia kasi ya Magufuli ni kubwa mmeanza kupona Unyumbu.

Tangu lini mmetengua misimamo yenu ya kushirikiana na rais?
 
2020 kuna anguko la CDM mbeya
ni swala la mda tu
Kumbuka kauli hii ya jiwe

Yaani nikuteue, nikulipe mshahara, nikupe na gari umtangaze mpinzani?

Sijui kama nimenukuu sawa lkn content ndo hiyo akiwaagiza wakuu wa wilaya(kama sikosei)

Makala wa mbeya ikabidi aombe msamaha kwa jiwe baada ya kata moja kati ya 49 kuchukuliwa na upinzani.

Hapo kuna uchaguzi au uchafuzi?
 
Back
Top Bottom