Opportunity Cost
JF-Expert Member
- Dec 10, 2020
- 9,035
- 6,905
Wewe strong na wenzako mnasubilia nini kuongoza?K
Kutumbua akufanyi mtu kutokuwa dhaifu,Samia rais dhaifu kutokea kuongoza taifa kubwa la Tanganyika,na baati anaongoza Watanganyika, ingelikuwa kwao Zanzibar aliisha fukuzwa, maana wazanzibari awataki mchezo