Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa hili Jo linahusiana vipi na BAVICHA? au ulitaka kusema uvccm?Rais Samia amesema zoezi la kubadilisha watendaji wa wizara mbalimbali ni endelevu ndio maana leo hajawaapisha Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo na Naibu wake ambayo kimsingi ni wizara mpya baada ya kurekebishwa.
Source: ITV
My take; Bavicha kunyweni mtori nyama mtazikuta chini!
Kuna nafasi yenu 1 bwashee!Sasa hili Jo linahusiana vipi na BAVICHA? au ulitaka kusema uvccm?
Haya bwashee!Hakuna jipya Mkuu hapo CCM mpaka siku mkipumzishwa na Watanzania
Waendelee tuu kumlinganisha na yule mropokaji wataisoma namba.Kwa kipindi cha miezi sita nilikuwa nawasoma viongozi. Sasa nimewajua vizuri sana na kwa hiyo sijaweka kituo kwenye uteuzi bali nimeweka koma. Nitaendelea kufanya uteuzi kila ninapoona panafaa. Jamani upole na makuzi yangu pengine watu wananichukulia poa. Kuna baadhi ya mawaziri walianza kufanya wapendavyo.
Maneno ya mama hakuna mwenye namba ya kudumu kwenye kikosi chake
Au kufanya Kazi kwa kuvizia Rais au kumtaja taja mdomoni ,huo ni utoto kila mtu anajua job description..Hotuba iko vizuri,viongozi wachape kazi,waache kufanya kazi kwa mazoea...
Mwenye akili Upinzani ni Mbowe peke yakeYaani hata kama akabadilisha mara 10000 mwenye akili ccm ni warioba tu
Ina maana kati ya wabunge 300+ wa CCM hakuna mwenye afadhali hadi Hangaya anakopa watu nje ya bunge?Rais Samia amesema zoezi la kubadilisha watendaji wa wizara mbalimbali ni endelevu ndio maana leo hajawaapisha Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo na Naibu wake ambayo kimsingi ni wizara mpya baada ya kurekebishwa.
Source: ITV
My take; Bavicha kunyweni mtori nyama mtazikuta chini!
The bestThat is my president! Samia Hassan Suluhu!
Anaupiga Mwingi MpakaHuu utawala wa kitemi wenyewe hauna mawaziri, au wameshateuana kule gambushi....
ishu ya kufokeana fokeana kama watotohumu maofisini huwa inaniuzi sana huwa natamani kumpiga ngumi mtu anayefoka fokaRais wetu Mpendwa Mama Samia leo kanena kinagaubaga kuwa kulingana na malezi aliyo yapata hana tabia ya kufokea watu wazima ambao wanafahamu au wanatambua majukumu yao, hapa aliwalenga watendaji wote wa Serikali, kuwa hana muda wa kuwafokea hadharani kiongozi yeyote yule aliye haribu au ambaye hayuko tayari kufanya kazi bali atafoka kwa kalamu yake.
Sasa wapo baadhi ya viongozi walio teuliwa wameamua ku… relax kwa kudhani Mhe. Rais ni Mpole au dhaifu...la hasha! yupo macho na macho yake yanaona kila kona/pembe ya nchi hii, kila wizara, kila ofisi, kila mtumishi wa serikali.
Hiyo ni Salamu tosha kwa wakaidi na ambao wanafanya kazi kimazoea au kwa maksudi wameamua kuzuga wakidhani Rais ni dhaifu.
Nchi hii ina hazina ya kutosha ya wasomi na weledi hivyo wale wote walio teuliwa wasidhani kuwa wao ni wazuri zaidi kuliko wengine bali uzuri wao utatokana na utendaji wao.
Hongera kwa Mhe. Rais wetu kwa kuwa na msimamo.
Tahadhari wa watendaji wote wa Serikali;
Badilikeni haraka sana, vinginevyo fagio la chuma lazima likupitie bila huruma.
Wale wote mnao zuga mnafahamika.