Mawaziri..na ..MUNGU AKIPENDA

MAKAH

JF-Expert Member
Sep 27, 2010
1,582
265
Huwa nashindwa kuwaelewa mawaziri bungeni wanavyowasilisha mipango au hoja za Serikali na kusisitiza MUNGU AKIPENDA. Utasikia ujenzi wa daraja hili utakamilika mwakani Mungu akipenda au tutafua umeme wa kutosha nusu ya nchi MUNGU AKIPENDA. Tuelewe mipango ya nchi inayo fail ni kwa sababu MUNGU HAKUPENDA hivyo tusihoji!!
 
Bora hiyo....mimi neno 'changamoto' linanikera sana.

Aliyelileta katuachia majanga.
 
Back
Top Bottom